15 November 2025
https://m.youtube.com/watch?v=taaPPz2Df0Y
Prof. PLO Lumumba achambua kuhusu washauri wahuni, machawa wanaosema Mama usisikilize kelele za vijana GenZ, vijana hao GenZ ni genge lisilojielewa, wababaishaji, hawajui wanadai nini, watapoa tu, 912 hawatatokea katika maandamano...