Swadaktaaa?
Back, nikiwa 3rd year nilishwai miliki chombo kali sana aisee huyu dada alikuwa ni pisi kali sana, moja ya pisi nilizotoka nazo anaingia top3. Alikuwa ni mzuri balaa. Ni pisi ambayo ikikatiza lazma ugeuke uitizame.
Tatizo la huyu dada ilikuw ni kujikojolea usiku hii ndo kasoro...