pinga machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka 'Kaisari wa Wanyonge' hadi 'Kiwanda cha Machawa': Je, JPM ndiye aliyetuharibia siasa zetu au waliomfuata wamezikuza?

    UTANGULIZI: Kutoka Kwenye Matumaini Makubwa Hadi Kwenye Ukweli Mchungu Ili kuuelewa vizuri uongozi wa Hayati Rais John Pombe Magufuli, ni lazima turudi nyuma kwenye miezi yake ya kwanza kabisa madarakani mwaka 2015. JPM alianza utawala wake kwa kasi ya ajabu na mambo yaliyowashtua wengi...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini

    Wametuma machawa kibao huku mitandaoni ambao maskini hawajui wanapigania nini yani mbumbumbu kabisa hawana madhara. Yaani uuwe maelfu ya watu alafu bado utuletee hawa ni kuchochea moto zaidi. kweli washauri ni akina kingwendu. Tumeshajua mmewalipa buku saba buku saba huku mitaondioni sasa...
  3. Sheikh23

    JamiiForums Tanzania Uchawa na kutafuta trending mitandaoni kutaua elimu yetu

    Wakuu Habari ya Jumapili... Niende moja kwa moja kwenye mada,miaka ya karibuni kumezuka mtindo mpya wa maisha ya kusifia watu Mbele ya camera na kupewa pesa,wenyewe machawa wanaita "kuokota". Vijana wengi wamekua wakidhani hayo ni maisha halisi bila kujua scene nyingi ni maigizo,matangazo au...
Back
Top Bottom