picha ya rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ni Muda muafaka kwa picha ya Rais Samia kuwekwa katika Fedha zetu hususani elfu kumi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Kwa hakika huu ni wakati na muda muafaka na majira sahihi kabisa kwa Benki Kuu Ya Tanzania kubadilisha Muonekano wa Fedha Zetu kwa kuweka Picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  2. Adverse Effect

    Kwanini tusiache na kukoma kutumia picha ya Rais Samia ?

    Wanabodi, Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane. Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia kuanzia kushamiri kwa rushwa, mauaji, utekaji, ufisadi na zaidi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Chama cha AAFP yaahirisha mkutano wa kampeni kisa polisi kuingilia na kukuta gari iliyobandikwa picha ya Rais Samia

    Hiki ni kituko au ni bwebwe kuonyesha nao wanamsimamo mkali? Yani picha tu ndio uharishe mkutano, vipi gharama za kuandaa huo mkutano, vipi watu walifika? Kwani kulikuwa na shida gani kuondoa gari hilo =============== Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru...
  4. Y

    RC Mhe. Mwanamvua Mrindoko: Hii ndio Picha ya Rais Samia Mkoa wa Katavi

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Hoza Mrindoko amesema kuwa Mkoa umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kuu na za ndani (km 526.85), madaraja mawili ya Kavuu na Msadya, shule mpya 129, shule maalumu mbili, vyuo vya VETA viwili, miradi ya maji 28...
  5. M

    Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  6. Sigara Kali

    Kulikua na sababu gani ya kuweka bango lenye picha ya Rais Samia na nembo ya CCM kwenye hii boti?

    Hii safari ya Boti kusafirishwa kutoka Mtwara hadi Mwanza naona inatangazwa sana mitandaoni Cha ajabu sasa kwenye hiyo boti kuna bango limeandikwa UOKOZI ZIWA VICTORIA lakini kuna picha ya Samia na nembo ya CCM Je hii ni kampeni dhidi ya CCM? Na Hii safari naona kama ina lengo la kuwatoa...
  7. L

    Ushindi Wa Professa Janabi Wanibubujisha Machozi Ya Furaha nikiwa Nimepiga Magoti Mbele Ya Picha Ya Rais Samia Kumshukuru kwa Ushindi huu aliotupatia.

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni Ushindi wa kihistoria,Ni Ushindi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini...
  8. GENTAMYCINE

    Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  9. Expensive life

    Ndugu zangu huku ni kumdhalilisha Rais hii picha yake inafanya nini kwenye mitungi ya gesi?

    ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Madee aipeleka picha ya Rais Samia London kwenye mchezo wa Arsenal na Ipswich

    Wakuu Uchawa unavuka boda sasa == Msanii wa Hip Hop, Madee, kupitia Instagram, amemtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa mashabiki wa Arsenal kwenye mechi ya jana, Desemba 27 dhidi ya Ipswich, akisema kuwa anaunga mkono juhudi za Rais katika sekta ya michezo. Pia, Soma: Rais Samia...
  11. Suley2019

    SI KWELI Shadrack Chaula aliyechoma picha ya Rais Samia ameripotiwa kufariki, Agosti 15, 2024

    Inadaiwa kuwa kijana aliyefungwa jela kwa kuchoma picha ya Rais Samia kisha wananchi wakachanga kumtoa amefariki dunia. Kijana huyu amekuwa haonekani kwa siku nyingi sasa baada ya kuchukuliwa na watu wasiojulikana.
  12. Erythrocyte

    Nafuu ya Maisha kwa Wananchi ni Bora zaidi kuliko picha za Kumbukumbu

    Tunawakumbusha viongozi wetu kwamba, shida kubwa ya Watanzania ni Ugumu wa Maisha unaosababishwa na kuanguka kwa Uchumi na ukosefu wa ajira. Kupiga picha na watu wenye njaa wanaotaabika kwenye kila jambo, achilia mbali kwamba ni kejeli lakini pia haikubaliki mbele za Mungu, kukusanya Masikini...
Back
Top Bottom