pepmis

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    DOKEZO Kiza chazidi kutanda, walimu walia na madaraja 2025 vigezo vya PEPMIS vimeacha maumivu kwa baadhi ya watumishi katika kupanda madaraja

    KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025 VIGEZO VYA PEPMIS VI Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali imekuwa sitofahamu, ijapokuwa kwa kiasi flani serikali imewezesha baadhi ya watumishi kupanda na wengine baadhi kuachwa kwa sababu zile zile za kimfumo ambazo bado...
  2. J

    Matamko ya CWT kuhusu Mfumo wa PEPMIS yanatuchanganya, Serikali iweke wazi kuhusu upandishaji wa madaraja ya Walimu

    Napenda kuwasilisha waraka huu nikiwa miongoni mwa Walimu wengi nchini ambao wameathirika kwa taarifa zinazotolewa na Chama chetu kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja kwa kutumia Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System (PEPMIS). Hivi karibuni, CHAMA CHA WALIMU...
  3. K

    Mwaka huu Serikali imetumia mfumo wa PEPMIS wa mwaka jana kupandisha madaraja Kwa mwaka 2024/2025. Matokeo yake watu wengi wameachwa

    Mwaka huu Serikali imetumia mfumo wa PEPMIS wa mwaka jana kupandisha madaraja Kwa mwaka 2024/2025. Matokeo yake watu wengi wameachwa sababu alama zao ziko chini. Kuna walimu wa ajira ya 2012 waliotakiwa kupanda Kwa mserereko na wale wa ajira mpya ya 2020 wameachwa. Kwa mtizamo wangu Kwa kuwa...
  4. E

    Chungu tamu na PEPMIS

    WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025 MFUMO WA PEPMIS ULIOKUWA KWENYE MAJARIBIO UMEWAHUKUMU WASIPANDE MADARAJA. Walimu wanalalamikia kutokupanda madaraja(P
  5. A

    KERO Wakuu wa Idara Manispaa ya Kigoma Ujiji hawajauelewa vema mfumo wa PEPMIS

    Serikali ilianzisha mfumo wa ESS UTUMISHI Kwa ajili ya kurahisisha utendaji serikali. Katika kipengele cha kupima utendaji wa mtumishi (PEPMIS), Wakuu wa idara Halmashauri ya Kigoma Ujiji hawajui chochote, hili limepelekea watumishi wa ngazi za chini alama zao kusoma 0% na huku mtumishi yeye...
  6. Kichaka12

    Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

    Wasalaam ndugu zangu jukwaa la elimu Kumekuwa na taarifa kuwa waalimu watakaopanda vyeo KIGEZO CHA asilimia za ujazaji wa e utendaji. Hiki KIGEZO kitawanyima walimu wengi haki Yao ya msingi kwasababu zifuatazo. 1. Uelewa mdogo wa mfumo Tangu serikali iunde mfumo huu ni watumishi wachache...
  7. L

    KERO PEPMIS changamoto watumiaji wapewe taarifa

    Kumekuwa na Kero ya kusuasua kwa mfumo wa PEPMIS kwa kitambo Sasa. Mara mtandao umefungwa, mara uliweka taarifa huzioni. Na mbaya zaidi hata huduma zile za kuunganishwa na Taasisi za fedha ni hazina ungano kwa Sasa. Mimi binafsi nimepata changamoto katika maombi ya mkopo. Ambapo ninaambiwa...
  8. Doto12

    Kuna Halmashauri zinawaweka watu fulani kujaza alama. Score za Pepmis huu ni uhuni

    Kiuhalisia mfumo huu ulipaswa uwe unapandisha score automatically baada ya mtumishi kupandisha asilimia zake na mkuu wa kitengo ku approve. Sasa badala yake kunamtu amekaa amewekwa awe anapandisha score baada ya approval ya mkuu wa unit. Serikali hapa imebugi human akikaa sehem lazima...
  9. A

    KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Serikali iunde Taasisi ya Usimamizi na Ukaguzi kwa Watumishi wa Umma. Hii PEPMIS tunawekeana 90% maisha yanakwenda, hakuna mabadiliko ofisi za umma

    Hello! Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo palepale basi watumishi hawataki usumbufu kabisa. Hata ubunifu hakuna. Unakuta ofisi leo inaomba...
  11. jina baya

    Suala la PEPMIS: Serikali ikae chini ikatafakari upya

    Habari za wakati wajumbe. Hili suala la PEPMIS naona kwa mtazamo wangu kama lina maswali mengi sana kuliko majibu. Japo lengo la serikali ni zuri kabisa, la kutumia mifumo ya tehama na teknolojia kufanya performance appraisal lakini niishie kusema kwa mfumo huu naona kabisa halitatimia. Kuna...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Kuanzia Julai 2024 watumishi watakuwa busy kujaza PEPMIS. Mnaotaka huduma ofisi za umma kazi mnayo

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa busy je, ikiwa watumishi watajaza kila wiki itakuwaje? Wananchi mjipange. Jambo jingine. Serikali igawe laptops kwa watumishi wote maana...
Back
Top Bottom