paul kagame

Paul Kagame (; born 23 October 1957) is a Rwandan politician and former military leader. He is the sixth and current president of Rwanda, having taken office in 2000. Kagame previously commanded the Rwandan Patriotic Front (RPF), a Uganda-based rebel force which invaded Rwanda in 1990 and was one of the parties of the conflict during the Rwandan Civil War and the Rwandan genocide. He was considered Rwanda's de facto leader when he served as Vice President and Minister of Defence under President Pasteur Bizimungu from 1994 to 2000.
Kagame was born to a Tutsi family in southern Rwanda. When he was two years old, the Rwandan Revolution ended centuries of Tutsi political dominance; his family fled to Uganda, where he spent the rest of his childhood. In the 1980s, Kagame fought in Yoweri Museveni's rebel army, becoming a senior Ugandan army officer after Museveni's military victories carried him to the Ugandan presidency. Kagame joined the RPF, taking control of the group when previous leader Fred Rwigyema died on the second day of the 1990 invasion. By 1993, the RPF controlled significant territory in Rwanda and a ceasefire was negotiated. The assassination of Rwandan President Juvénal Habyarimana set off the genocide, in which Hutu extremists killed an estimated 500,000 to 800,000 Tutsi and moderate Hutu. Kagame resumed the civil war, and ended the genocide with a military victory.
During his vice presidency, Kagame controlled the national army and was responsible for maintaining the government's power, while other officials began rebuilding the country. Many RPF soldiers carried out retribution killings. Kagame said he did not support these killings but failed to stop them. Hutu refugee camps formed in Zaire and other countries and the RPF attacked the camps in 1996, but insurgents continued to attack Rwanda. As part of the invasion, Kagame sponsored two rebel wars in Zaire. Rwandan- and Ugandan-backed rebels won the first war (1996–97), installing Laurent-Désiré Kabila as president in place of dictator Mobutu and renaming the country as the Democratic Republic of the Congo (DRC). The second war was launched in 1998 against Kabila, and later his son Joseph, following the DRC government's expulsion of Rwandan and Ugandan military forces from the country. The war escalated into a conflict that lasted until a 2003 peace deal and ceasefire.
Bizimungu resigned in 2000, most likely having been forced to do so, following a fall out with the RPF. He was replaced by Kagame. Bizimungu was later imprisoned for corruption and inciting ethnic violence, charges that human rights groups described as politically motivated. Kagame's rule is considered authoritarian, and human rights groups accuse him of political repression. Overall opinion on the regime by foreign observers is mixed, and as president, Kagame has prioritized national development, launching programmes which have led to development on key indicators including healthcare, education and economic growth. Kagame has had mostly good relations with the East African Community and the United States; his relations with France were poor until 2009. Relations with the DRC remain tense despite the 2003 ceasefire; human rights groups and a leaked United Nations report allege Rwandan support for two insurgencies in the country, a charge Kagame denies. Several countries suspended aid payments in 2012 following these allegations. Since coming to power, he has won three presidential elections, but none of these have been rated free or fair by international observers. His role in the assassination of exiled political opponents has been controversial.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Tuone jinsi Rais Kagame alivyodukua simu ya Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini na sababu za yeye kufanya hivyo

    Wakuu, katika makala yangu iliyopita tuliyojadili kuhusu programu hatari ya udukuzi kutoka Israeli iitwayo Pegasus, niligusia tukio hili kwa kulitaja tu, maana mwishoni mwa makala ile nilitaja wakuu wa nchi mbalimbali waliowahi kudukuliwa na programu hii. Kama nilivyosema, mnamo mwaka 2021...
  2. Baada ya Mo29 na yanayoendelea Malawi, naona waasi wa M23 ndio wazalendo na PK ni Pan africanist halisi kwa sasa

    Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara. Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
  3. Paul Kagame: Mapinduzi yanaweza kutokea zaidi Afrika Gen-Z wanataka mabadiliko

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema bara la Afrika linaweza kushuhudia mapinduzi zaidi, hasa kutokana na mtindo wa vijana wa kizazi kipya, maarufu kama Gen Z kuonyesha nia ya kupindua tawala ambazo hazitekelezi matakwa ya wananchi. Akizungumza kufuatia mfululizo wa mapinduzi barani Afrika...
  4. W

    Kagame: Ninaamini Mahali kunakofanyika mapinduzi lazima kuna kitu kisicho sahihi kimekuwa kikiendelea

    Wakuu Rais wa Rwanda Paul Kagame ni kama anabariki mwenendo wa baadhi ya mapinduzi yanayotokea barani Afrika ikiwemo yale ya Guine Bissau na amesisitiza kama hadi mapinduzi yanatokea ni ishara kuwa kuna kitu hakiendi sawa kwenye hilo Taifa. Kagame ameyazungumza haoyo akiongea na waandishi wa...
  5. Serikali ya Rwanda yaweka hadharani majina ya watu 25 ambao imewaita kama "magaidi wa taifa"

    Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Paul Kagame imetoa orodha ya majina 25 ya watu wanaotajwa kuwa wapinzani na magaidi wa taifa Katika orodha hiyo watu wengi waliotajwa ni waliokuwa washirika wa karibu wa Rais Paul Kagame kabla ya kuvunja uhusiano naye na kukimbilia ughaibuni. Orodha...
  6. Rais wa Msumbiji kuivuka Tanzania kwenda kuomba msaada wa Kiusalama Rwanda inatupa picha gani kuhusu diplomasia yetu?

    Si mara ya kwanza kwa raisi wa msumbiji kukimbilia kigali kupewa back up dhidi ya matishio yanayo jitokeza sehemu mbalimbali mwa miji ya msumbiji hasa capo Delgado. Mara ya kwanza alitoka askari zaid ya 1500. Kwa mikataba itakayonufaisha pia Rwanda. Kiusalama kama jirani yako hayupo salama...
  7. Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

    Ukimsikiliza Kagame anavyozungumza hivi sasa, unaelewa kabisa huyu mtu anawajua majirani zake inside out kiasi ambacho hawawezi kumwambia chochote au kufanikiwa kumfanya chochote. Ukimsikiliza Kagame vizuri utaelewa kuwa, kwa sasa anajua kabisa kuwa Tanzania ni Taifa ambalo limeshajifia...
  8. Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0 General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao. Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono...
  9. Rwanda: Rais Paul Kagame aonekana hadharani, baada ya tetesi za kumzushia kifo

    President Kagame is in good health: Government dispels online rumors, following a wave of false claims circulating on social media suggesting otherwise.
  10. Rwanda yazungumzia uvumi kuhusu afya ya Rais Kagame

    Ni Habari za Uongo' - Rwanda yazungumzia uvumi kuhusu afya ya Rais Kagame. Chanzo Taarifa: BBC Swahili Punguzeni kama siyo acheni CHUKI, WIVU na ROHO MBAYA kwa akina GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ambao tayari Mwenyezi Mungu kwa KUDRA zake na MAPENZI yake ameshatubariki vingi tu. Nilisema hapa hapa...
  11. SI KWELI Jeshi la Rwanda lathibitisha Paul Kagame kuwa kwenye hali mbaya ya kiafya

    Wakuu,
  12. UPDATE yangu kuhusu Tetesi za Rais wa Rwanda Paul Kagame kuugua na kufa huko Munich Germany

    Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
  13. Tetesi: Yuko wapi Rais Kagame? Duru zinasema ameshatutoka, wenye taarifa zaidi tafadhali mtujuze!

    Nimepitia na naendelea sana kupitia Mitandao mbalimbali na comments za Watu naona wanasema Paul Kagame hatuna nae tena. Hii imekaaje wakuu? Kuna ukweli wowote?
  14. Padri Thomas Nahimana, amekuwa mstari wa mbele kusambaza uvumi Wa Kifo cha Rais Paul Kagame

    Padri Thomas Nahimana, kiongozi wa chama cha upinzani Nchini Rwanda cha ISHEMA, amekuwa mstari wa mbele kusambaza uvumi kuhusu Rais Paul Kagame. “Nilikuwa na vyanzo vya kuaminika…” Nahimana alidai kuwa alikuwa na "credible sources" ambazo amelitaja kwamba Kagame alikuwa katika hali ya...
  15. PAUL KAGAME & JAMES KABAREBE: Mastermind & Unspoken hero's of Africa’s Hidden Battles

    Paul Kagame, Rais wa Rwanda, anachukuliwa kuwa mmoja wa ma-genius wa kijeshi barani Afrika. Kuanzia msituni hadi ikulu, Kagame ameshinda vita ngumu na kubadilisha historia ya Afrika ya Kati kwa mbinu za kijeshi za kipekee. 🪖 Vita alivyoshinda: Vita ya Msituni Uganda (1981–1986): Alipigana na...
  16. Si sawa kupima mafanikio ya Traore kwa kumuangalia Kagame

    Tukiangalia mafanikio machache ya kiongozi wa kijeshi kutoka katika taifa ya afrika magharib Kepten IBRAHIM TRAORE watu husema he's nothing compare to Paul kagame Hebu kumbuken huyu mwamba hana misaada ya nje hakopi kalipa den lote la taifa . Kagame ana misaada kutoka kote Magharib hadi juzi...
  17. Rais wa Rwanda Paul Kagame, akutana na rais wa DRC, Tshisekedi huko Doha, Qatar

    Ni mkutano ulioitishwa na amim bin Hamad Al Thani kiongozi wa nchi hiyo. Wenyewe wanajua walichokuwa wakikiongelea
  18. Kama Siad Barre wa Somalia, Kagame kutaka maeneo ya nchi jirani kuangukia pua

    Tofauti na Siad Baare aliyekua kiongozi mwanamapinduzi na mjamaa Kagame ni kiongozi mbinafsi mwenye umbari na malengo ya kurejesha dola ya kihistoria ya watutsi iliyokua inatawala mbali ya wabantu maeneo ya maziwa makuu. Watutsi asilimia 15 ya raia wa Rwanda chini ya Kagame tayari wanamiliki...
  19. Kagame ameingia kwenye mfumo, safari hii hatoboi!

    Kama kuna makosa ya Kidiplomasia ambayo Kagame amewahi kuyafanya basi kosa kubwa zaidi ni kitendo cha kutangaza kuvunja uhusiano wa Kidiplomasia na Belgium sasa. Huo ni mtego ambao ametengenezewa Kagame lakini akashindwa kuung'amua vyema labda kwa sababu ya kiburi, hasira na msongo wa mapambano...
  20. Paul Kagame aionya Ubelgiji "Nyinyi sio Mungu, tutawakabili"

    Wakuu, Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia. Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema “Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…