pastor tony

For the Victorian era impresario of the same name, see Tony Pastor.

Tony Pastor (born Antonio Pestritto; October 26, 1907 – October 31, 1969) was an Italian American novelty singer and tenor saxophonist.

View More On Wikipedia.org
  1. kidonto

    Prophet Uebert Angel wa Zimbabwe azungumzia kile Mungu alimwambia kuhusu Pastor Tony being a Tanzanian Watch Man

    Prophet Uebert Angel ni kati ya 5 African top Prophets of God. Anazungumzia vile Mungu alimwambia anavyomwandaa Young Pastor Tony kuwa Watch Man Kwa Tanzania. Anasema Mungu alimwambia pia kuhusu Pastor mmoja huko Ghana, na alimtaja Kwa jina, japo ikaleta Maneno mengi Toka Kwa Pastors na Bishops...
  2. C

    Biashara ya Pastor Tony iko mashakani

    Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua. Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia...
  3. funaku

    Namtia moyo Pastor Tony Afya duni ya akili imewafanya wengi Wawe na chuki kwa waliofanikiwa!

    Asilimia kubwa wanaokudhihaki ni wakina dada ambao kimsingi wanakutamani sana kwa mafanikio yako. Kitendo cha Mke wako kujitokeza katika kukuunga mkono kinaibua hasira na chuki yao dhidi ya mke wako na wanamuona kama vile hakustahiki kuwa nawe. Trust me Trend hii ya kukunanga imemlenga mama...
  4. Brain Kingdom

    Pastor Tony Kapola kama Mungu alimtendea muujiza wa gesi kwanini ana panic na kukejeli wanaobeza?

    Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu. Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic na kufikia hatua ya kutukana, kukejeli na kudharau wanaobeza muujiza wa gesi. Kama huyu ndio pastor...
  5. M

    Ushauri kwa Pastor Tony Kapola , kuprove watu wrong, andaa siku ujaze mtungi mtupu wa gesi live mbele za watu

    Pastor Tony Kapola ili kutuprove wrong ungesema iletwe mitungi empty uijaze gesi tukishuhudia hii panic mode ya kujibu jibu ni unakosea na inaonyesha ni unadanganya
  6. I

    Kwa heshima kabisa Pastor Tony kaa kimya, Unakoelekea unaharibu

    Baada ya mke wa Pastor Tony,kushuhudia ibadani kuwa kuna siku waliishiwa gesi,Pastor Tony akaupuliza mrija,wakapata gesi ya kutumia wiki mbili,nchi ni kama imerindima na kupatwa na taharuki Wengine wanaona,ni usanii at its maximum point,wengine wanajiuliza maswali ya kufikirisha sana,ambayo...
Back
Top Bottom