Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe.
Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana.
Lakini pia...
Wasalaam, Wana jukwaa. Kufuatia hiki kizungumkuti Cha Idadi kubwa ya waalimu wasio na ajira hata kuelekea kuunda chama chao, huku kukiwa na Idadi kubwa ya upungufu wa waalimu kwa mashule mengi yaliyojengwa Kila Kona ambapo inatajwa upungufu huo ni 276,000 na walioko Mtaani 146,000 🙃🙃.
Tumieni...
Habar zenu wana jukwaa. Kama kichwa cha habar kinavojieleza, nimeona niwaletee hii ili vijana waongeze maarifa na uelewa kutoka kwa wajuvi.
Hii wiki imeanza kwa mimi kusumbuliwa na vijana juu ya nini wafanye ili waweze kuomba nafasi za security guard ii hapo UDSM.
Baada ya kukutana na...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la Leo.
Lengo la vyombo vya habari, ni kuihudumia jamii, ukikutana na jambo fulani zuri, linawezeza kuisaidia jamii, unaliandika ili kushea na wengine. Leo nawaletea topi ngumu kidogo ya jambo linalohusu kupata mafanikio kwa kutumia kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.