Uzuri wa nchi haupimwi kwa mataji inayoshinda, vivutio vya utalii inavyovimiliki, wala sifa inazopata kimataifa pekee. Nchi hupimwa pia kwa namna inavyowalinda wananchi wake, inavyosimamia rasilimali zao na inavyowajibika mbele ya watu wake.
Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari...