Heshima sana wanajamvi,
Makamu wa Rais Ndejembi alihutubia UN na kusisitiza suala la kulitambua taifa la Palestine.
Hivi taifa la Palestine likitambuliwa linatusaidia sisi waTanganyika.
Kuna siku Waarabu waliwahi kusaidia bara la Afrika kupunguza umaskini au kutuuzia mafuta kwa bei nafuu...