othman masoud

Othman Masoud Othman Sharif is a Tanzanian lawyer and politician serving as the First Vice President of Zanzibar. He is also a party member of ACT Wazalendo.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni...
  2. JamiiForums Tanzania Othman Masoud ulipaswa kukutana na Warioba kabla ya Maridhiano yenu na CCM, unachokifanya ni kujikosha tu, hutaaminika tena

    Ushafunga mkataba wa kiduwanzi na Shetani eti leo ndio unakuja kuona Wazee Tushakustukia.
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Othman Masoud: Hakukuwa na Uchaguzi 2025, Vyombo vya dola kwa kushirikiana na Tume ya Uchaguzi na CCM viliamua nani awe Mshindi

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud Othman, amesema kuwa kile kilichofanyika nchini katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 haikuwa uchaguzi, bali ilikuwa ni "upangaji wa matokeo" uliosukwa na vyombo vya dola, Tume ya Uchaguzi pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  4. JamiiForums Tanzania Othman Masoud, amesema Tanzania ipo katika mkwamo wa kiuongozi na tusipoangalia tunaweza kuingia kwenye mkwamo mkubwa zaidi

    Salama. Huu mkwamo wa kiuongozi ni kweli upo? Umesababishwa na nini? Je hatua gani zimechukuliwa ili kuweza kutatua changamoto ya huu mkwamo uliopo ? Pengine ni mawazo ya mtu mmoja ,je ndugu mtanzania ni kweli Tanzania ina mkwamo wa kiuongozi na kama upo ni kwa namna gani?
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Othman Masoud: Kuna watu wanatishwa kwa wanayoyasema Bungeni kuhusu yaliyotokea kwenye Uchaguzi

    Akizungumza leo Mei 16, 2026, Katika Mjadala wa kitaifa kuhusu mwelekeo na khatima ya Tanzania, uliokusanya makada na viongozi wa chama hicho, wasomi, wanadiplomasia na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo ngazi ya Taifa, Othman Masoud amesema licha ya...
  6. JamiiForums Tanzania Chakwera akutana na Othman Masoud pamoja na Babu Duni, Zanzibar

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman akiambatana na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Juma Duni Haji, leo Jumatatu Aprili 13, 2026 wamekutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera Mjini Unguja, Zanzibar. Katika kikao...
  7. JamiiForums Tanzania Othman Masoud Othman: Mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo (Taifa), Othman Masoud Othman amesema mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema. Akizungumza na viongozi na wanachama wa chama chake kwenye mkutano wa ndani hivi leo Februari 11, 2026 Kusini kwa kisiwa cha Pemba...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa ACT, Othman Masoud afanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza, 10/02/2026

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Barua ya wazi kwa Othman Masoud na Jussa - Mtoseni Samia muinusuru Zanzibar

    Salam ndugu Othman Masoud na Jussa Bi mkubwa kwa sasa ni rais asiyekubalika na wananchi kwa hiyo kufanya siasa zozote za kumlinda na kumsaidia "mwenzetu" apate ahueni ya kutawala hakutaisaidia Zanzibar na wala hakuisaidii ACT, sanasana kunaisaidia CCM. Nasema hivi kwa sababu sasa hivi bi...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: ACT-Wazalendo yakubali Kura ya Mapema Zanzibar

    Chama cha ACT-Wazalendo kimewataka Wanachama na Wafuasi wake kutoshiriki katika zoezi la kura ya mapema unaofanyika leo Oktoba 28, 2025, na badala yake wasubiri kushiriki Siku rasmi ya Uchaguzi wa Wananchi wote itakayofanyika Oktoba 29 Mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo na Mwenyekiti wa Taifa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Watawala acheni vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, Tutauana hadi lini?

    Mgombea urais wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, Othman Masoud, ameibua mjadala mkali baada ya kutoa matamshi yenye uzito kuhusu hali ya kisiasa na kijamii nchini. Akizungumza katika kikao cha ndani cha chama chake, Othman alitaka watawala kuacha vitendo vya mauaji na utekaji wa watu, hasa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Viongozi wapimwe kwa wanavyojali wananchi

    Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman amewataka Wazanzibari kuwapima viongozi kwa vigezo mbalimbali ikiwemo kujali maslahi ya wananchi anaowaongoza. “Mkitaka kupima kiongozi, mpime kwa kiasi hicho au kwa vigezo hivyo, maslahi makubwa ya...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais Zanzibar Kupitia ACT, Othman Masoud kujuimuisha WALIMU WA MADRASA Katika Mfumo wa Malipo ya Serikali

    Nitaweka historia mpya kwa kuwajumuisha walimu wa madrasa katika mfumo wa malipo ya Serikali, kuwapa mishahara, bima ya afya na hifadhi ya jamii. Walimu hawa ndio msingi wa maadili, dini na malezi ya taifa, hivyo lazima wapewe heshima na thamani yao. Serikali isiyowajali wao ni Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Nikipewa Urais Zanzibar, Kipaumbele Kitakuwa Marekebisho ya Katiba

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema akipata ridhaa ya kuongoza dola, ataanza na marekebisho ya Katiba ili kuvifanya visiwa hivyo kuwa mikononi mwa Wazanzibari. Othman ameahidi Wazanzibari watakuwa na uhuru wa kuhoji kuhusu mwenendo wa uendeshaji...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud (OMO) azindua kampeni Pemba

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman leo September 13 anazindua kampeni zake katika uwanja wa Tibirinzi, Chake Chake, Pemba kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza katika mkutano huo, Othman Masoud Othman, amesema kuwa endapo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud hana uwezo kabisa mbele ya Dkt Hussein Mwinyi, Bora Babu Duni

    Othman ni mjanja mjanja tu hana uwezo kabisa wa kuwa Rais, hakutakuwa na mpinzani Zanzibar wa kumfikia hata robo Maalim Seif, kiongozi Peker aliekuwa na uwezo na sifa za kuwa kiongozi ni Babu Duni au Juma Duni Haji. Othman hana mvuto mbele ya wananchi, hajui kujenga hoja, amelazimishwa tu kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Kuhusu mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM tuendelee kuchukulia kama tuhuma

    Mtia nia wa urais Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Othman Masoud akizungumza na wahariri leo Agosti 23,2025 amesema kuwa suala la mifumo ya NIDA, INEC kuunganishwa na ile ya CCM ni tuhuma kama tuhuma zingine na tuendelee kuona kama tuhuma tu!!!
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: ACT Wazalendo kuwa project ya CCM labda ilikuwa Behind The Scene. Sikukuta hata harufu ya hilo jambo

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano huu wa wahariri unaofanyika leo Agosti 23, 08, 2025, katika ukumbi wa Serena Hotel, Dar es Salaam Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud amesema kuwa yeye hafahamu chochote kuhusu ACT kuwa ni project ya CCM Masoud akiwa anajibu hoja iliyoibuliwa...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti Othman Masoud Othman Anazungumza na Wahariri, leo Agosti 23, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena. https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk Mazungumzo ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia ACT Wazalendo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Serena Hotel...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud: Tutaiondoa CCM katika dola

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mgombea Urais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Othman Masoud Othman amesema chama hicho kimedhamiria kuiondoa CCM madarakani ili kuwakomboa watanzania na kadhia ya umaskini. Akizungumza na wananchi wa Mwandoya Jimbo la Kisesa Mkoani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…