othman masoud othman

Othman Masoud Othman (born 7 February 1963) is a Tanzanian lawyer and politician serving as the First Vice President of Zanzibar. He is also the national party chairman of ACT Wazalendo .
A trained lawyer, a diligent public servant, and an astute politician, Othman Masoud has indicated that he will be vying for president in the 2025 general election in Zanzibar.
Othman Masoud has worked in the Tanzanian public service since 1989, when he was a State Attorney (1989-1993). Between 1993 and 2002, he served in the joint role of principal secretary in the ministries responsible for justice, legal and constitutional affairs, and deputy Attorney General.
In 2002, he was appointed the first Director of Public Prosecutions in Zanzibar and was charged with setting up the Directorate and developing the capacity to make it operational and efficient. He served as Director of Public Prosecutions for a decade (2002-2011).
In 2011, he was appointed the Attorney General of Zanzibar and served in the Zanzibar Cabinet and House of Representatives as an ex-officio member. During that period Othman also served as a commissioner in the Zanzibar Planning Commission.
Since 2015, Othman Masoud has been active in politics in Zanzibar as a key revolutionary partner of Seif Sharif Hamad, while running his law firm, Othman Sharif and Associates, where he serves as the managing partner.
He is married to Zainab Shaib Kombo and has eight children.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Othman Masoud Othman: Mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo (Taifa), Othman Masoud Othman amesema mchakato wa mazungumzo ya kuupatia suluhu ya kudumu mgogoro wa kisiasa Zanzibar unakwenda vyema. Akizungumza na viongozi na wanachama wa chama chake kwenye mkutano wa ndani hivi leo Februari 11, 2026 Kusini kwa kisiwa cha Pemba...
  2. Roving Journalist

    GE2025 Uchaguzi wa Urais Zanzibar: Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kwa 74.80%

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 ngazi ya Urais Zanzibar kama jinsi matukio yanavyotujia kutoka kwenu. Ukiwa na taarifa yoyote upande huu tafadhali usisite kuweka. Wapiga kura walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura walikuwa 717,557, ambao ndio...
  3. PAYE

    GE2025 Mgombea Urais ACT Zanzibar, Othman Masoud asema ushindi upo katika Kura

    Mgombea Urais wa ACT Wazalendo ahitimisha Kampeni Pemba Kwa hamasa na shangwe Mgombea Urais wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, Oktoba 20, 2025 ameanza wiki ya mwisho ya kuhitimisha rasmi kampeni za kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba. Mamia ya wanachama, wapenzi na viongozi wa...
  4. PAYE

    GE2025 Othman Masoud: Hatuwezi kukubali kupata Rais wa nchi yetu kwa njia za kihuni

    Mgombea wa urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, Jumamosi Oktoba 11,2025 katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyikwa uwanja wa Kivumbi Jimbo la Amani, Mkoa wa Mjini Magharibi ameonya kwa kusema "Hatuwezi kukubali kupata rais wa nchi yetu kwa njia...
  5. Mafyangula

    GE2025 Othman: Nitasafisha ufisadi uliojengewa mizizi, ili nchi hii iendeshwe kistaarabu

    Mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema endapo akiingia madarakani Oktoba 29, 2025, ataanza kusafisha vitendo vya ufisadi vinavyodaiwa kuwepo visiwani humo. Amesema vitendo vya kifisadi vilivyopo visiwani humo vinasababisha athari mbalimbali ikiwemo...
  6. ACT Wazalendo

    GE2025 Mwenyekiti Othman Masoud Othman Anazungumza na Wahariri, leo Agosti 23, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman anazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari muda huu katika Hoteli ya Serena. https://www.youtube.com/watch?v=QALdEBBAQlk Mazungumzo ya Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia ACT Wazalendo na Wahariri wa Vyombo vya Habari, Serena Hotel...
  7. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Othman apanda mtumbwi hadi Kisiwa Panza kuusaka Urais 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman akiambatana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Zanzibar Ismail Jussa Ladhu wamefanya ziara ya ujenzi wa Chama eneo la kisiwa Panza kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Ziara hiyo ya kisiwani imefanyika 29 April 2025 ni ya...
  8. Roving Journalist

    PreGE2025 Othman Masoud Othman: Miaka 61 ya Muungano, Zanzibar inakandamizwa

    Wakati leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema Zanzibar ilianza kupambana na changamoto za Muungano tangu yakiwa mambo 11 na hivi sasa yamefikia 41. Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka...
  9. Roving Journalist

    Othman Masoud Othman: Tumejitahidi kuleta maridhiano Zanzibar lakini wenzetu wameingia mitini

    Mwenyekiti wa Taifa Chama cha ACT Wazalendo. Othman Masoud Othman amesema wamefanya jitihada kubwa kuleta hali ya maridhiano Zanzibar kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu kuepusha maafa yasiokua ya lazima lakini wenzao hawakua tayari na hali hiyo. Othman ambae pia...
  10. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo: Mazingira ya uandikishaji wapiga kura wapya Zanzibar yamegubikwa na matumizi makubwa ya vyombo vya dola

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman, ameeleza kuwa mchakato wa uandikishaji wapigakura wapya visiwani Zanzibar unakabiliwa na changamoto kubwa, hasa kutokana na matumizi ya nguvu na ushawishi wa vyombo vya dola. Kwa mujibu wake, hali hiyo inaashiria kwamba watawala...
  11. Roving Journalist

    PreGE2025 Othman Masoud Othman: Haiwezekani wenzetu wasiandikishwe Kupiga Kura Zanzibar kisha sisi tushiriki Uchaguzi

    "Haiwezekani kuna wenzetu hawajapata haki ya kuandikishwa kuwa wapiga kura Zanzibar, kisha sisi tutoke kwenda kushiriki kwenye uchaguzi kirahisi hili haliwezekani na lazima tupambane nalo" Othman Masoud Othman. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taif, Othman Masoud Othman amesema kuwepo kwa...
  12. Mindyou

    PreGE2025 Othman Masoud Othman ajiandikisha Daftari la Wapigakura

    Wakuu, Makamu wa kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman, amejiandikisha katika Daftari la Wapigakura wapya katika kituo cha uandikishaji Shule Mpendae, visiwani Zanzibar. Akizungumza baada ya kujiandikisha, leo, Masoud ambae pia ni Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kujiandikisha...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  14. M

    PreGE2025 Barua ya Wazi kwa Othman Masoud Othman makanu wa kwanza wa Rais ZNZ na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo-Lisaidie Taifa kupata katiba mpya

    Ndugu Othman Masoud Othman Assalam aleikum. Nakuandikia haya nikitambua kuwa wewe na chama chako mpo katika juncture muhimu ya kihistoria ya kuipatia nchi hii katiba mpya na reforms za msingi kwa manufaa ya Nchi nzima na Zanzibar kiujumla. Ndugu Othman Masoud, bila shaka unatambua kuwa...
  15. Roving Journalist

    PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT

    https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4 Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
  16. Roving Journalist

    ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia

    ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa. Tunajuwa kuwa...
  17. Ojuolegbha

    Othman Masoud Othman amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, Ijumaa Agosti 09, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki. Ujumbe huo ambao umeongozwa na Waziri katika Wizara hiyo Balozi Mahmoud Thabit Kombo, umefika...
Back
Top Bottom