An open university is a university with an open-door academic policy, with minimal or no entry requirements. Open universities may employ specific teaching methods, such as open supported learning or distance education. However, not all open universities focus on distance education, nor do distance-education universities necessarily have open admission policies.
Mimi ni mtumishi, Nilipata ruhusa ya kwenda masomoni lakini sikwenda kwasababu ya ukiritimba uliopo halmashauri kwamba ukienda masomoni basi uwezi kupanda daraja, na Mimi napanda daraja Mwakani, nimetimiza miaka mitatu ya ajira Sasa, naona nikasome kitu kingine, passion yangu ni Mambo ya...
Wingu zito la sintofahamu limekikumba Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania) baada ya kuibuka kwa tuhuma nzito zinazodai kuwa zaidi ya wahitimu 300 wa mahafali ya 44 hawakupata matokeo yao kwa njia halali. Tuhuma hizo zinaeleza kuwa asilimia 90 ya wahitimu hao ni watumishi wa umma...
Anonymous
Thread
chuo kikuu huria
openuniversityopenuniversity of tanzania
Chuo Kukuu Huria kimekuwa na tatizo sugu la kutopeleka taarifa NACTVET, watu wanamaliza masomo lakini wengine huwachukua mpaka miaka mitatu ndio taarifa zinatumwa NACTVET, na hapo mpaka uwe unafatilia.
Kama siyo mfuatiliaji inakula kwako.
Je, umeshawai kukutana na hii changamoto, embu...
Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana.
Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
Anonymous
Thread
amani
chuo kikuu huria
december
dhidi
huria
kikuu
maandamano
maandamano ya amani
mbovu
openopenuniversity
tarehe
university
uongozi
uwajibikaji
Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati.
Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
Anonymous
Thread
chuo
chuo kikuu
chuo kikuu huria
huria
kikuu
mapema
openuniversity
pekee
university
wanasiasa
Ni jambo la kipumbavu sana (Mods please naomba mniache, sisi watu wazima na watanzania tunafanyiana mambo ya kijinga sana hawajui wanakwamisha madeal kiasi gani kwa wanafunzi wao)
Mfano una shida yoyote ya ki Academic unaenda mpaka Dar makao makuuu, supervisor wako anakukwepa, ukipiga simu...
Nimekuwa nikidai matokeo yangu tokea February nikaambiwa nisubiri.
Nimemaliza research April nikategemea matokeo yatajazwa pamoja ila hakuna lolote.
Yani hawa watu wanatutreat kama tunasoma bure na hatuna thamani yoyote.
Yani leo ndiyo naambiwa inabidi nirudie mtihani wakati mara ya kwanza...
Kozi ya ICT ndio nahitaji kuisoma kama kichwa kinavyojieleza...... naomba ushauri juu ya hilo katika maswali yafuatayo
1. Je inawezekana?
2. Naomba kujua ninaweza badilishiwa muundo wa elimu katika kada yangu ya elimu kwa kutumia cheti cha ICT baada ya kumaliza masomo?
Ni hayo tu naombeni...
Habari za asubuhi wana JF,
Niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Siku kadhaa zilizopita nilijisajili na mfumo wa kuomba kozi mojawapo pale chuo kikuu huria. Nilikamilisha taratibu zote na baada ya hapo nikapewa password ili nikamilishe taratibu za maombi.
Nilipotoka kwenye mfumo na kujaribu...
Wakuu naomba Ushauri.
Nahitaji kusoma shahada ya Kwanza (Degree) ila nina vikwazo vifuatavyo;
Muajiriwa Serikalini nina miezi 7
Nipo mbali na vyuo
Naitaji kusoma kwa Siri asijue mtu Kazini.
Nipo Zanzibar
Miaka 25
Anayefahamu utaratibu wa kusoma Chuo Kikuu Huria (Open), naomba anieleweshe?
Au...
Niko hapa nimechanganykiwa kwanini hiki chuo hawataki kutuwekea matokeo yetu. Utaratibu ni kwamba matokeo yalitakiwa kuwa yamewekwa tokea mwezi wa 4 mwanzoni, ila mpaka sasa hatujui kwanini yamechelewa kutoka.
Na cha kushangashaza ratiba ya kufanya mitihani imetoka mapema kabla ya mitihani...
Kama wamekubali kuchukua ada zetumbon awnatudharau kiasi hiki. Ukiwa mwanafaunzi pale OPEN ndiyo utaona ada yako haina thamani kabisa na moja ya kitu najilaumu ni kuijiunga na hiki chuo.
Kwa idadi ngo tuliyoko pale chuo ila vitu vinaendeshwa utafikiri pale ni UDOM au UDSM, halafu kwa makusudi...
Haiwezekani sisi wengine vitu vinakuwa vigumu kufanyika kwetu. Ishu ya mitihani kupotea ni jambo la kawaida sana pale chuoni, ishu ya kusahihishwa mitihani kwa muda mrefu hata miezi miwili japokuwa wanafunzi ni wachache pale ila ni kawaida sana, research kucheleshwa bila ya sababu ya msingi...
Naomba kuuliza kama mtumishi wa umma (mwalimu) anataka kujiendeleza kupitia open university siku za mitihani inabidi awe anaomba ruhusa kwa mwajiri?. Au wazoefu mshawahi soma open mlikuwa mnafanyaje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.