Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee.
Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru wanataka 15.8M Bila kupepesa Jicho mpaka hapo ni 32.7M, Ukitia na bandari charges zile walizoleta 35M...
Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema kilio cha kodi kimekuwa kikubwa kwa wafanyakazi na wamekuwa wakiiomba serikali ishushe kodi.
Soma Pia: TUCTA wamtunuku Rais Samia tuzo ya shukurani kwa kuboresha maslahi ya wafanyakazi
Wafanyakazi wanakatwa kodi ambayo haina ubishi, kadri mshahara...
WABUNGE Wamependekeza Serikali Kuandaa Sera Moja ya Kodi ili Kutoa Mwongozo wa Masuala Yote ya Kodi Nchini.
-
Akisoma maoni Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Fedha mwaka wa fedha 2024/2025, pamoja na maoni ya kamati kuhusu makadirio ya mapato na...
China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies.
More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!)
China imposes retaliatory tariffs on...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24.
Pia Soma:
-
Nawasalimu Wakuu,
Nianze pasipo kupoteza Muda.
Kauli ya Serikali ya kusema kua Watanzania wamekubali Tozo haina tofauti hata kidogo na ile kauli yao waliyo toa wakisema Watanzania hawataki katiba mpya wakisema kipaumbele chao ni Maendeleo.
Ifikie hatua tuseme kua tunaburuzwa sana kwa ukimya...
Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu.
Wenye...
Mama Samia kwa nini mnafanya hivi, mbona hii sio fair? Ni wapi tumekukosea?
Kabla nilitegemea ulipoingia ungepunguza ukali wa maisha Ila ukali ndio unazidi.
Mama Samia mbona hakuna aliyekataa kulipa Kodi?
Ndani ya miezi minne kufanya haya mabadiliko makubwa hivi huoni ni kama unatutesa sana...
Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania.
Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...