Tangu serikali itangaze kuhamia Dodoma na baadae kuwagawaia bure viwanja mabozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini,kuna nchi hata moja imeonyesha ni ya kujenga ubalozi kue mkoani Dodoma?
Ni kweli kila nchi ina taratibu zake za kutekeleza jambo kama hili, ila kwa muda wote huu, nilitarajia...