CHANGAMOTO YA KIUFUNDI KATIKA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA VIBALI VYA KAZI (OWAIS)
Dodoma, 13 Machi 2026
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano (OWM-KAM) inautaarifu Umma kuwa kumetokea tatizo la kiufundi katika Mfumo wa Kushughulikia Maombi ya Vibali vya Kazi. Ofisi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
Serikali imezitaka Halmashauri zote nchini kuongeza ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuwezesha utekelezaji wa mipango mikubwa ya maendeleo inayoanza Julai 2026, ikiwemo Dira ya Taifa ya 2050 na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31).
Akifungua Kikao Kazi...
Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la Nne la Januari 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
#WaziriMkuuNchemba #PMNchemba
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi leo 20 Novemba, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko kwenye ofisi za wizara zilizoko mtumba mkoani Dodoma, na kumshukuru Mhe. Biteko kwa utendaji wake wa kazi katika kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.