nyumba

  1. T

    Je unatafuta Furniture na mionekano inayolingana na Mtindo wa Nyumba au ofisi Yako?!

    Habari za leo! Ikiwa umewahi kufikiria jinsi nyumba yako inaweza kuwa na muonekano wa kipekee na kuvutia, Afro Eco Wood Designs ndiyo jibu unalotafuta. Tunatoa huduma ya kudesign furniture na muonekano wa maeneo ya nyumba na biashara kwa kutumia mbao , ambapo tunachukua mawazo yako na...
  2. Eliza Vs baba mwenye nyumba

    je faza house atatoboa au atakubali kadi nyekundu
  3. G

    Baba wa familia ndie injini ya nyumba, Hakuna shida akila vizuri akiwa mihangaikoni, wala sio ubinafsi kama wengi wanavyodhani

    N:B: Baba wa familia anaehudumia sio aliekimbia au kukwepa majukumu Kwa tamaduni za waafrika wengi baba ndie injini ya familia, ndio maana familia nyingi sana baba akiondoka mambo yanayumba hata kula inakuwa ya shida. Injini inahitaji service, kuwekewa oili mara kwa mara kulainisha vyuma na...
  4. Arusha: Mume avunja nyumba mtoto akiwa ndani, alimpa talaka mke

    Katika hali isiyo ya kawaida kutoka ya Wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha Mwanamke mmoja amelalamika kuvunjiwa nyumba aliyokuwa akiishi yeye pamoja na mtoto wake nyumba hiyo imevunjwa na aliyekuwa Mume wake, Baada ya kumpa talaka Mahakani. Mwanamke huyo anadai kwamba nyumba hiyo walijenga pamoja...
  5. DOKEZO Serikali chunguzeni kinachoendelea Baraza la Ardhi na nyumba Wilaya Nyamagana Mwanza

    Muda si mrefu nitaweka vielelezo halisi vya ukiukaji mkubwa wa sheria
  6. Nilichomfanyia mwenye nyumba wangu hadi majirani wamenipongeza

    Wana jf, kwemaaaaa..? Hapa niliponga kuna kero nyingi sana ambazo zinaweza epukika ila kutokana na utaratibu uliowekwa{nimeukuta} basi inabidi niendane nao hivyo hivyo kama wenzangu walivyobariki. Ipo hivi hapa mamamjengo ni mjane na anavijana wake wakubwa tuu wa 3 umri wao wa kati ni kati ya...
  7. Anahitajika mpangaji wa nyumba kwa taasisi au Dispensary, nyumba ipo Kinyerezi mwisho.

    Anahitajika mpangaji binafsi au taasisi kwa ajili ya kupanga nyumba kubwa yenye fence kubwa ya viwanja viwili double vya low density. Eneo ni Kinyerezi mwisho bomba la Songazi ni mita kama 200 kutoka barabara kuu lami. Matumizi unaweza kufanya ofisi au Dispensary itategemea na plan za...
  8. Naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini

    Naitwa David, nina miaka 25 naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini. Mawasiliano +255624576521
  9. D

    Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

    Wakuu Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko. Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board. Natamani kuacha lakini life ngumu.
  10. Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na sio kwa mama au bibi fulani

    Mke wako wako asikuzidi jina, nyumba yako itambulike kwa baba au mzee fulani na siô kwa mama au bibi fulani. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo. Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni...
  11. B

    Nimewagomea Wanafamilia tusichangie Harusi ya Kaka bali tuchangie mdogo wetu masomo na Nyumba tumalizie. Wamefura nimelikoroga

    Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani. Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge. Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka. Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka...
  12. Nyumba ya kupanga yenye swimming pool

    Msaada nina rafiki yangu anatafuta nyumba au apartment ya kupangaisha yenye swimming pool Dar; Any recommendation? maeneo ya Mbezi beach kuelekea Bagamoyo!
  13. Vijana wa Tanzania mnajiita Gen Z nyuma ya keyboard? Hawa ndio Gen Z

    Bangladesh
  14. E

    House4Sale Nyumba zinauzwa maeneo mbalimbali

    Nyumba inauzwa kibaha maili moja loliondo Ina Vyumba 2 kimoja master Jiko,public toilet, sebule Umeme upo,eneo lina 20 kwa 20 Umiliki Mkataba wa Mauziano ya serikali za Mtaa Nimailimoja loliondo pikipiki sh. 2000 Bei mln 19 maongezi yapo kidogo 0675 065906
  15. Wenye nyumba wamekuwa na hii tabia Kwa wapangaji wao

    Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji...
  16. RC Manyara, Queen Sendiga Akabidhiwa Nyumba 74 za Waathirika wa Maporomoko ya Matope

    Agosti 5, 2024 kumefanyika makabidhiano ya mradi wa ujenzi wa nyumba 74 za waathirika wa maporomoko ya matope zilizopo katika eneo la Warret Wilayani Hanang kati ya Suma JKT na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara Ujenzi umekamilika kwa asilimia mia moja (100%) ambao ulianza machi 18 2024 chini ya...
  17. Tufanye tunaishi nyumba moja, hebu tutiririke vibwanga na vituko ndani ya Mjengo.

    Wajameni, hebu tufanye tuko ndani na tunaishi ndani ya nyumba moja ambapo vihoja, vituko na vibwanga havikosekani! Vingine vinafurahisha na vingine vinakera! Haya mimi naanza….. “Nani kala kiporo changu…, halafu mbona sioni kamba za viatu?”
  18. Baba mwenye nyumba na mpangaji (Confession)

    Mpangaji akimuongelea Baba mwenye nyumba, Mwenye Nyumba akimjibu Mpangaji Kazi kweli kweli!
  19. Wanu Hafidh Ameir achangia Milioni 10 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Rufiji

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR ACHANGIA MILIONI 10 YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA RUFIJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Unguja Kusini tarehe 30 Julai, 2024 alifungua Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji na kuchangia Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kutatua changamoto zao ikiwemo kumalizia ujenzi...
  20. NYUMBA YA VYUMBA VINNE - PUGU KIGOGO FRESH 150,000x4 -0684223374

    Gari inafika sebule, dinning, etc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…