Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi...
Eneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo Kiluvya Makurunge, Pwani karibu na kwa masister au kwa Sumaye.
Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidi
Eneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo kiluvya makurunge, Pwani karibu na kwa Masister au kwa Sumaye.
Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidi.
Habari zenu wakuu,
Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji.
Kwa mfano, ninafikiria...
Ramani ya kupangisha
Wapangaji wawili kila mpangaji anavitu vifuatavyo
Chumba 1 self
Chumba 1 havina choo
Seble
Jiko
Choo cha wageni
Nyumba nzima kwa wapangaji wote Inachukua mita 8 kwa mita 12 (jengo zima)
Vyumba vyake ukubwa ni standards
Hata kama unakiwanja kidogo unawezakuweka uwekezaji...
Habari wana JamiiForums!
Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi hawataamini, wengine watafikiria ni hadithi za kutunga, lakini nawaambia kwa uhakika—nilipitia jinamizi la...
Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni.
Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja...
Habari .
Vitu vya kuzingatia,
-privacy
-comfotability
-Flexibility
-Security
-saving of space n.k
Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia
Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo
Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;-
✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
Kununua nyumba ya uwekezaji linaweza kuwa jambo rahisi sana wakati ambapo una mtaji fedha wa kutosha kununua nyumba unayotaka. Lakini kuuza nyumba ambayo huitaki inachukua miezi mingi mpaka miaka kadhaa.
Kwa kutumia kanuni hii ya uwiano ninakuonyesha jinsi unavyoweza kununua nyumba ya uwekezaji...
Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.
Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba.
Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha.
Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
Tunatafuta usalama na uhuru.
Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2).
Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...