Mimi kwa muda mrefu nimekuwa nikifanya kazi za matajiri wengi sana ikafikia mahali Matajiri wale wakawa wananialika kwenye shuhuli zao
Sasa kawaida binadamu kuna wakati tunazungumza mambo mengi
Siku moja nikachomeka swala la Ibada
Nikawauliza kuwa kuna shutuma kuhusiana na matajiri kuwa...
Katika Jiji la Dar es Salaam, changamoto ya kelele kupita kiasi kutoka katika nyumba za ibada imekuwa ikilalamikiwa kwa muda mrefu na wakazi wengi. Ofisi ya NEMC Kanda ya Mashariki imeonekana kushindwa kusimamia ipasavyo utekelezaji wa sheria na kanuni za mazingira zinazohusu udhibiti wa kelele...
Bila shaka humu Kuna watumishi wa Mungu.
Mtumishi wa Mungu ukiwa kanisani ongea kile ulichofunuliwa na Mungu acha kujitengenezea agenda zako za kisiasa unatukera sana, kwasababu huna uwezo wa kunibadilisha Mimi chama changu hata ufanyaje.
Nawatakieni sikuku njema wakuu.
Tuwe na kiasi Kuna...
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali.
Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
Mtu asifikiri kuwa watakaoenda mbinguni ni hao kwenye nyumba za ibada au hao wanaotoa sadaka nyingi lakini hawafanyi haki ni wezi na mbwa mwitu.
Lakini wale waongozao wenzao kufanya haki hao ndio wana wa mungu, mwisho ulimwengu utawagawinyika makundi mawili wapigania haki na wavunjifu wa haki...
Watu wa maisha ya kawaida wanaongoza kulalamika Kulogwa, Kuzimia Makanisani na Misikitini na kulia na neno Shetani kucha kutwa huku Matajiri wakiwa kimya
Wanaongoza kutia huruma na kujiona wanateswa na kutendwa vibaya na kila mtu aliyeko mbele yao kwao ni mbaya
Wanaongoza kukesha kwa Waganga...
Tanzania inakaribia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Joto la siasa limekuwa likipanda na kushuka, na majukwaa yanazidi kutafutwa, ikiwemo Nyumba za Ibada. Lakini je, hii ni sawa?
Wanasiasa wanapohutubia kwenye Makanisa au Misikitini, wengine husema wanajenga maadili, amani na mshikamano. Lakini Je...
Leo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya.....
Mbona hao hawasemwi kuwa wanahubiri siasa...
Kwa haya yanaondelea hakuna mskitini wala kanisani mkasema kutakuwa na usalama na sehemu ambazo zitakuwa zinawindwa na kuwekewa maaskari ni zile nyumba za ibada ambazo zinaeleza mwenendo wa nchi swala utekaji na uwongozi usiopenda wananchi.
Tarajieni kuona mabunduki na silaha nzito pamoja na...
Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Katika baadhi ya mataifa, makanisa, misikiti, na nyumba nyingine za ibada zilichukua nafasi muhimu katika kupigania uhuru na haki, kwa kutoa uongozi na kuhamasisha umoja wa kitaifa, na kusimama dhidi ya dhuluma zinazofanywa na watawala mbalimbali.
Hapa chini ni muktasari wa nchi saba ambazo...
Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama.
Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
Na mifano mingi nimeona mtu alikuwa vizuri baada ya mambo kwenda kinyuma ndio wanaongoza kuwa daftari la kuwai namba nyumba za ibada na wengine kuwa wapenzi wazuri wa ulonzi kila jambo.
Nenda misikitini au makanisani wamejazana wengi wanashida tuje huku kwenye giza kama wote.
Kuna watu na...
1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.
2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe.
NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha wanaanza kuombaba namba na kuanza kutongoza eti usiku mida ya saa mbili tukutane element daaa nimechukia...
Nafahamu kwamba suala la uumini au dini ni pana, kuna baadhi ya mambo kulingana na Katiba yetu na miongozo mbalimbali Serikali inaweza kufungwa mikono kuyaingilia moja kwa moja, lakini kuna uwezekano kwenye baadhi ya vitu Serikali haifungwi mikono kuviingilia hususani suala la usalama wa...
Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake.
Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani.
Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
Leo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.
Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili...
Mchungaji Richard Hananja anasema wale wote wanaouza vitu katika nyumba zao za ibada wakatwe kodi kwani ni kama tu wamehamishia maduka kwenye nyumba za ibada.
Siku hizi nyumba nyingi za ibada zinazomilikiwa na watu binafsi zimekuwa na utaratibu wa kuuzia waumini wao vitu kama vile maji, mafuta...
Habari JF?
Siku hizi kumeibuka wimbi la kufungua Baa/ groceries na nyumba za ibada katikati ya makazi ya watu! Mwisho wa siku, zinageuka kuwa kero kwa kufungua sauti kubwa kwa wananchi wanaozizunguka ambao kimsingi hizi bar au nyumba za ibada zimewakuta hawa wanachi!
Mfano mzuri, ninapoishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.