Huwa kuna mjadala mkali sana kwenye jamii wa kumsema na kumsimanga mtu anayejenga nyumba ya kuishi kuwa anazika pesa zake lakini hapohapo jamii inampongeza na kumuona mtu wa maana sana mtu anayejipositi kwenye apartment kali anayolipa kodi kwa dola.
Kiuhalisia mtu aliyepanga na kujisifu kukodi...
Habari maboss
Kiwanja chenye nyumba kinauzwa
Sqm 300
Docoment serikali ya mtaa
Eneo linaangalia barabara ya kwenda mitaani ambayo inapita magari aina yote ispokuwa ya abiria na mizigo mikubwa.Kwa badae Rami itahusika.
Kutoka eneo lilipo Hadi BaraBara kuu ya kwenda Goba au Madale kutokea...
Hello nilikuwa nataka kuuliza maana kuna watu kutoka board of architects and quantity surveyors' registration board wananifuatilia toka mwezi wa 6 mwaka huu kuwa sijaweka bango hilo la ujenzi, pia nikiangalia majirani zangu wote na waojenga na sehemu za jirani ambao nao wanajenga ghorofa moja...
Wanabodi kama mada inavosema,nimepitia maoni mengi kuhusu uezekaji na gauge pendekezwa ni 28,lkn binafsi nataka kutumia gauge 26,naombeni ushauri wenu wa kitaalamu nipate elimu na kufanya maamuzi
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye safari ya kujenga utajiri, uwekezaji ni kiungo muhimu sana.
Watu wengi wamekuwa wanachanganya kipato kikubwa (rich) na utajiri (wealth).
Wengi huwa na maisha mazuri pale wanapokuwa na kipato kikubwa, kinachokuwa kinatokana na kazi au biashara wanazofanya.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.