Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa Wananchi, kutokana na wahusika kupiga muziki kwa nguvu sana mpaka usiku wa manane.
Sauti kubwa sana...
Hicho ndicho kilichotokea wakati wa Eid Al Adha huko Montreal Canada.
https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440
Na bado Waziri Mkuu wa Canada katika salamu zake za Eid, alimwaga sifa kemkem kwa Waislamu. Swali jingine mtu anajiuliza je this love affair baina ya viongozi wa kisiasa wa...
Hellow!
Kama imewezekana haraka siku hiyo hiyo kuweka ulinzi na kufunga eneo lote la kanisa la ufufuo na uzima,
Kumbe hata ununuo na mabwe pande ambapo watu hutupwa wakiwa wameuwawa au kuumiza, inawezekana kuweka ulinzi wa 24 hours Ili kuzuia Hali hiyo kuendelea kutamallaki nchini petu...
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, amempongeza Mtume Boniface Mwamposa kwa huduma yake ya kiroho na misaada anayoitoa kwa watu wenye mahitaji mbalimbali.
Magoti alisema kuwa Mtume Mwamposa amesaidia watu wengi wenye shida mbalimbali na kutokana na mchango wake mkubwa, alimwomba kuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.