nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Only in Tanzania, tuko tayari kupiga kelele Bar zikeshe ila sio huduma nyingine.....

    Kuna mambo yanafikirisha sana. Watanzania (baadhi) wako tayari hata kuandamana kugomea Bar zisifungwe ila sio huduma nyingine za msingi. Leo hii eti mabenki yote yanafungwa jioni kuanzia saa Tisa na nusu, only NMB na CRDB pengine na NBC kwa pale Mlimani City na baadhi ya maeneo. Kwahio kama...
  2. B

    Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

    Alhamisi ya wiki hii, Oktoba 27, 2022, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshiriki shughuli ya ufunguzi wa Daraja la Mto Wami ambalo liko ndani ya Jimbo lake la Chalinze. Daraja la Mto Wami limekamilika kwa 96% na...
  3. Ndani ya wiki moja, ndege nyingine ya kivita yaanguka Urusi na kuua, hivi zina nini?

    Mindege ya kivita inajiangukia yenyewe sijui inatunguliwa au marubani wamejichokea au wanetu wa Ukraine waliopo Urusi wanafanya yao.... A Russian warplane slammed into a residential building in the Siberian city of Irkutsk on Sunday, killing both crewmembers, authorities said. It was the second...
  4. T

    Mkude Simba SC imetosha, tafuta changamoto sehemu nyingine

    Amani iwe kwenu. Nimekuwa nikifuatilia sana mwenendo wa viungo wakabaji wa timu ya Simba SC kwa muda mrefu sasa. Nimeona mabadiliko makubwa kwa Mzamiru Yasin na Sadio Kanoute, viwango vyao vinakua siku baada ya siku ila inapokuja kwa mchezaji Jonas Gerald Mkude suala hili limekuwa ni tofauti...
  5. Mambo 10 magumu kwa wanafunzi wa 'short course' wanaosoma VETA Kama huyawezi usiende; tafuta njia nyingine ya kusoma

    Una mpango wa kusoma Short Course V.E.T.A ? Na ni mtu mwenye majukumu yako?! Basi, tambua: 1. Utalazimishwa kuvaa sare. Hauko tayari kuvaa sare mazingira yako ni magumu. Hakuna cha 'bring-bring' wala nini! 2. Utanyoa Kama mtoto, kama mwanafunzi haswaa. Kama unauchebe, uchebe wako utaambiwa...
  6. Nape: Kampuni za Simu haziongezi bei za vifurushi bila idhini ya TCRA

    Baadhi ya nukuu za Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza kwenye kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TVE na EFM Radio leo Oktoba 17, 2022. Kuhusu kutishiwa Bastola Anaamini kuwa lilitokea kwa kusudi maalumu, na lilileta mafunzo makubwa kwake, waliopanga...
  7. Tetesi: Kuna kila dalili hii nchi tunarudi kwenye IPTL nyingine

    Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF. Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito. Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL. Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
  8. Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

    Hakuna kuachia, moto ni ule ule.... Ukrainian troops have broken through Russian positions on the Dnieper river north-east of Kherson, a strategic Russian-held city in southern Ukraine. The advance was reported by the Russian military and Russian-installed officials in the region. There is...
  9. M

    Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
  10. Ukiachana na Tanzania, kuna nchi nyingine duniani ina viongozi kama wakuu wa mikoa

    Wajuzi wa mambo naomba uzoefu. Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania. Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu. Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua? kwetu?
  11. Viongozi wa kike nao huandaliwa dogodogo pale wanaposafiri nchi nyingine?

    Kuna nchi huwa viongozi wa kiume wanaandaliwa binti mmoja wa kumpa kampani awapo ugenini. Sasa nauliza huu utaratibu upo pia kwa jinsia ya kike?
  12. Wakati Yanga na Simba na timu nyingine za ligi kuu zinapishana kwa waganga, Polisi Tanzania wajisalimisha kwa nabii

    Timu ya Polisi Tanzania imechukua uelekeo tofauti baada ya kuamua kuachana na kuwategemea waganga na wachawi ili kupata matokeo mazuri na badala yake wameamuamu kumfuata nabii Clear Malisa. Hiyo ndiyo habari iliyopo, soon mtaona mabango ya picja za Clear Malisa kwenye basi la timu ya Polisi...
  13. Ukraine wakamata babkubwa nyingine, kifaa chenye uwezo mkubwa kilichoachwa nyuma na waoga

    Ukraine walitumia mkakati wa ajabu sana, kuwaacha Warusi waingize vifaa vya maana kisha kuwatoa nduki.... Hili hapa ni dubwasha lenye uwezo mkubwa kimitambo.... Ukraine Just Captured Another Rare Russian Electronic Warfare Vehicle© via Twitter The potential intelligence windfall from the...
  14. Jumamosi iliyopita kuna Timu Moja ilikuwa inaendeleza kile ilichokizoea na nyingine imeonjeshwa Asali kabla ya Kulambishwa Chungu

    Huenda mwisho wa Kufurahi kwa hiyo Timu na Mashabiki wao ukawa ni Weekend ijayo ( hii ya sasa ) na baada ya hapo Kununa (kwa Kufurumushwa kabisa Michuanoni ) Kukaanza ama kutokea Sudan au Ethiopia.
  15. Kando na HIMARS kuna hii nyingine inayomtesa Mrusi kimya kimya inaitwa Excalibur

    Ina mapigo kama ya HIMARS ila mizinga yake haikosei shaba..... America has sent Ukraine its "most accurate artillery shell", a high-precision GPS-guided munition called Excalibur, Pentagon budget documents have revealed. Previously undisclosed documents, dated last month, show that the US...
  16. Kuna hawa wakuja pm kuomba kupigiwa kura hii si rushwa tu kma rushwa nyingine

    Wakuu kila siku nacheki pm yangu member nakuta massage na ujumbe watu kuomba niwapigie kura mm bila mm kusoma hata Uzi wake je hi si rushwa tu Kama rishwa zingine Kama mtu unajiamini na unauhakika na bandiko lako ya nn upitepite humu kuomba kupigiwa kura . Mm huwa sipigi kura bila chochote kitu...
  17. Wachezaji wenye majina makubwa kung'olewa Taifa Stars

    Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Serikali ya Tanzania aliyoitoa Waziri wa Michezo Mh Mchengerwa , akiongea na wanahabari amesema kwamba wachezaji wenye majina makubwa (Hakuwataja majina) hawajitumi kwa ajili ya Nchi yao , hivyo hawapaswi kuwemo kwenye Timu ya Taifa. Bali amesema kwamba tayari...
  18. Sehemu 10 nyingine ambazo serikali inaweza kuvuna mabilioni ya pesa kupitia tozo ni huku

    1.Vifurushi vya simu(vocha pia) 2. Vifurushi vya televisheni 3. Usafiri wa daladala 4. Pikipiki 5. Bajaji 6. Mafuta ya kupikia 7. Nafaka zote 8. Soda 9. Sigara 10. Pombe zote Mambo yote hayo kila siku yanatumika kama serikali itaweka tozo basi nchi itasonga haraka sana. My. Mwigulu hata...
  19. Smart kitochi cha kampuni gani ni rahisi kutoa lock na kuweka laini nyingine ya kampuni tofauti?

    Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
  20. F

    Kwa mara nyingine, Asante JamiiForums

    Napenda kutoa shukrani zangu kwa jukwaa hili hasa members kwa jinsi mnavyo changia mijadala mbalimbali. Kwa namna ya pekee naushukuru uongozi wa jukwaa hili. Kwa mara nyingine tena nilileta humu KERO fulani na ikatatuliwa. Ikumbukwe Jana nilileta habari ya makarani kunyanyaswa na viongozi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…