nyie

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Nyie machawa ,mbumbu je mwajua Samia kabla ya kuwa mkuu wa wanchi amenya kazi na mh lissu

    Wana jf anani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Nipo na swali nyie machawa hasa mjiangushao juu ya majukwaa kwa mamziki ya kijinga, tz imekua na wanamziki wengi sana ,mpaka sasa hakuna mwanamziki hapa tz amevunja record yao kwa tunzi labda maokoto tu. Sasa sikilia Samia na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nyie vyama "uchwara", akina ACT et al kama CCM wanafanya fujo kama leo kwenye mkutano, Je kwenye kupiga kura? Zitahesabiwa? Utatangazwa?

    ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte Ni kuchukua tahadhali tu!
  3. JamiiForums Tanzania Kama hana uchungu nasi na nyie hamna?

    Kama yeye hana uchungu nasi kwa kuwa yeye sio sisi , yeye ni kule sio huku , Hana ndugu huku na amevuka maji kuja huku . Je na nyie hamna uchungu na sisi? Mwenzenu wa Buhigwe nafsi ilimsuta muda mrefu akaamua kujiondoa kwa staili Ile maana ana familia inamtegemea hivyo asingeweza ondoka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nyie ni nani?

    Wadau hamjambo?. "Nyie Ni Nani?" Ney wa mitego anauliza kupitia wimbo. Ukiusikiliza na kutazama video yake utagundua Kaka Ney ameongea fact katika mitazamo sahihi kabisa. Wimbo "Nyie Ni Nani?" ni kazi ya kisanaa inayobeba ujumbe mzito kuhusu hali ya kijamii, kisiasa, na dhima ya wananchi katika...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watu wa Mbeya tuambieni ukweli, huyu ni wa kwenu kweli au mlisingiziwa? Mbona hafanani na nyie?

    Tunamjua Mwakyembe alisimama imara kuwapinga Mafisadi kina Lowassa na Rostam Tunamjua Mwandosya, alimpiga spana Jiwe na kuweka msimamo dhidi yake pamoja na Jiwe kumbananisha sana Tunamjua Sugu, pamoja na urafiki wake na Samia ila kasimama imara kusambaza No Reforms No Election Tunamjua Mdude...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hii ratiba imekaaje, vipi nyie mmeielewa?

    Ijumaa tarehe 6/6/ 2025 South Africa vs Tanzania (friendly match) Kesho yake Jumamosi 7/6/2025 Tanzania vs Madagascar (COSAFA cup) Tarehe 11/6/ 2025 Eswatini vs Tanzania Siku nne baadae, 15/6/2025 Yanga vs Simba 18/6/2025 kenGold vs Simba 22/6/2025 Simba vs Kagera NB: Ratiba ya Simba ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Wakenya ugomvi wenu na Samia usiwe ugomvi kati yetu sisi na nyie

    Sisi wananchi wa Tanzania hatuna ugomvi na Wakenya na hatujawasema vibaya wakenya na majirani wengine kama Uganda, Burundi, nk. Aliyewasema vibaya mnamfahamu, tafadhali shughulikeni naye na sio sisi wananchi. Sisi wananchi tunahitaji kufanya biashara zetu ndani ya nchi ya Kenya na nyie...
  9. JamiiForums Tanzania Wadau niende mbele nyie mrudi nyumanyuma. Leo Simba anakalia. Ama sivyo Ban ya Mwezi Mzima

    Sioni. Kila nikiangalia sioni Simba akichukua kombe. Yanga tumefanya kazi kubwa sana na hawa maarabu. Kwa kweli haitowezekana Simba kuchukua kombe. Labda kombe la uji au urojo huko Zanzibar. Nawashauri watuletee Tende na Halua tu.
  10. JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  11. JamiiForums Tanzania Kama nyie Simba ni Wanaume kweli basi fanyeni kama Tarehe 08 March 2025

    Nawapanga kabisa Makolo, kama kweli nyie ni Wanaume na mnajikubali basi mgomee na msuse kupeleka timu uwanjani huko Amani Abed karume (Stadium) Zanzibar kama mlivyofanya kwenye mechi ya Derby 08 March 2025. Maana huku mmezoea kubebwa na mjomba wenu Karia kwa maamuzi yenu ya hovyohovyo na yasiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Wakomonisti wa JF walijua Trump anafeli hii vita ya makato wakati mwamba yupo Uarabuni anasaini deals tena kwa kuhumizwa

    Nyie muendelee kukubali kuchukuliwa tu vibanda vyenu vya umachinga na wakina jet li🤣
  13. JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenye Vyeo na Mamlaka huko Serikalini (Bara na Visiwani) hadi Ikulu mnataka niwe kila mara nawakumbusha hili tu? Kwanini hamlitekelezi?

    Nilishawahi kusema hapa hapa JamiiForums kwa Utuo kabisa kuwa kama unajijua una Cheo chochote Serikalini (hadi Ikulu) kwa pande zote mbili za Bara na Visiwani kama ni Mcha Mungu basi hakikisha Chakula chako Kikuu kiwe ni Ibada kama GENTAMYCINE na vile vile kama ni Mshirikina Tukuka kama 'Mashavu...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nyie wenye madaraka kumbuka: The Evils that men do live after them

    Mulilo, kuna hukumu ya Mungu inakusubiri, Samia hatakuwepo, utajibu wewe mwenyewe Bado una muda wa kurekeisha kasoro! na nyie polisi pamoja na kwamba mnatii amri, chukulia mama zenu , ndugu zenu wa damu for clarity , wamekuja kwenye kesi ya Lisu mahakamani, mtawapiga na kuwapeleka Mabwe...
  15. JamiiForums Tanzania Nyie watu Tumechoka na Ujinga wenu CCM - Tanzania siyo Backyard ya Familia zenu!

    Leo siandika kama mtu mstaarabu... naandika kama raia aliyekasirishwa Nchi hii imegeuzwa ya familia chache huku viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kijinga Unajua kinacho umiza zaidi? bado wanapewa madaraka juu juu na CCM eti waendelee kuihujumu Tanzania. We serious? Unampa mtu aliyeshindwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nyie masimp ishini maisha yenu

    Ujumbe wa J2. Mwanamke popote ulipo mruhusu Mume wako aishi mkumbushe kuishi hiyo ni haki yake ya msingi anastahili kuishi Kuna wanaume wanatia huruma anakuwazia mema anatumia kila alicho nacho kwa ajili yako wewe na watoto na hajali kuhusu yeye ilimuradi wewe na watoto wake mnafuraha mnapata...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Neno Haki kwa CCM ni kama kosa la jinai kulitaja na hata wakilitaja watalitaja kwa kukunja sura kama wamemeza ndimu

    Kwa mwana ccm hasa viongozi, ukiwaambia watamke neno Haki, ni kama wanataka kuingia kwenye kosa la Jinai kulitaja, ni kama kutaja jina la mama mkwe wao Kwa nini mnazuwia kwa nguvu zote mahala popote Haki kutajwa? Hii inasadifu kile kinasemwa na umma wa Watanzania kwamba, ushindi wenu upo...
  18. JamiiForums Tanzania Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake amemchorea ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!.

    Jay Z kapata mtoto ana miaka 40 na sasa Jay Z mtoto wake ameshamchorea Ramani za kuja kufanikiwa kirahisi kabisa , nyie masikni acheni kuzaa ilimradi!. Kumbuka Jay Z katoka familia za kimasikini Sana , aliwahi hadi kuuza drugs , n.k Alichokifanya ni kuamua kuukataa umasikini kwa kuhakikisha...
  19. JamiiForums Tanzania Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  20. S

    JamiiForums Tanzania TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…