novena

A novena (from Latin: novem, "nine") is an ancient tradition of devotional praying in Christianity, consisting of private or public prayers repeated for nine successive days or weeks. The nine days between the Feast of the Ascension and Pentecost, when the disciples gathered in the upper room and devoted themselves to prayer, is often considered to be the first novena.
In some Christian communities, such as in Africa, Latin America and the Philippines, novena traditions are popular and include devotional rituals such as congregational prayers, the decoration of statues, hymn singing with music, as well as community fiesta events over beverages, refreshments or processions.
Novenas are most often prayed by members of the Roman Catholic Church, but also by Lutherans, Anglicans, and Eastern Orthodox Christians; they have been used in ecumenical Christian settings as well. The prayers are often derived from devotional prayer books, or consist of the recitation of the rosary (a "rosary novena"), or of short prayers through the day. Novena prayers are customarily printed in small booklets, and the novena is often dedicated to a specific angel, saint, Marian title of the Blessed Virgin Mary, or one of the persons of the Holy Trinity.

View More On Wikipedia.org
  1. Keynez

    Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  2. H

    Padiri katekwa "novena" iko wapi?

    Hapa ndipo tuamini sasa hakuna cha novena,ukristo, albadili, uislam,Muhamad,Yesu,nk. Waafrika wakati umefika tutafute suluhisho la kudumu la haya matukio hizo dini tumepigwa!!!
  3. The Burning Spear

    Nawapongeza Wakristo kwa kukemea Utekaji, Kwa kiasi Fulani Sasa Pametulia

    GT Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi. Sijajua wenzetu waislamu...
  4. H

    Kama kweli novena na albadili vinanguvu kwanini visitumike kuitoa ccm kwenye madaraka,kuondoa mafisadi,nk?

    WaTanzania na waAfrika kwa ujumla ufike wakati bongo zifanye kazi inashindikana nini kutumia novena na albadili kuisafisha Tanzania na Afrika? Fanyeni basi huo ujinga wenu watu waondokane na ccm,ufisadi,maradhi,wauaji,wizi,nk. Mapadri,masheikh,wachungaji,maaskofu,mapapa,manabii,nk wanakufa na...
  5. M

    Kitendo cha Maaskofu wa TEC kuomba NOVENA na Rais kukimbilia kikao cha Maimam ni kuligawa Taifa kidini

    Umoja wetu ni TUNU ya Taifa letu. Maaskofu na Watanzania wana hoja katika swala zima la kudai haki. Badala ya Rais na serikali yake kuwasikiliza ili kulinda Umoja wetu yeye ameamua kutugawa kwa kukimbilia kuongea na Maimam. Je anataka tufarakane kidini? Je maimam wanaunga mkono watu kutekwa...
  6. J

    Je, unazijua dalili za matokeo ya Novena ya Wakatoliki kwa ajili ya Haki na Amani katika Taifa letu? Asomaye na afahamu

    1: Viongozi wa Dhehebu hilo kukosolewa, kutukanwa, kubezwa na kukejeliwa. Kutokana na maonyo na ushauri wao kwa Serikali kwa ajili ya haki na amani ya nchi yetu. 2: Kutokea maamuzi ya ajabu ajabu nchini ili mradi watu wanakula mema ya nchi huku wengine wakililia haki na amani. 3: Wenye viburi...
  7. A

    hivi novena niuchawi wakizungu au?

    wadau mnaofunga novena huwa mnanuia nini? siouchawi kweli?
  8. Setfree

    Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya...
  9. D

    Novena maana yake mgomo. Wakatoliki tuko kwenye mgomo. Mungu asihusishwe kabisa mana hasikii sala za wenye hasira (unafiki)

    Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never. Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
  10. M

    Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

    Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho. Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena. Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia. Huu ni ujumbe mzito kwa...
  11. D

    Novena ya Mt Rita

    Habari zenu wakuu, bila shaka nyote ni buheri wa afya, kwa wenye magonjwa mola atawasaidia. Pasi na kupoteza muda naomba niende kwenye lengo la andiko langu.kumekuwa na habari nyingi kuhusu Mt Rita wa kashia,hii imepelekea baadhi yetu kuwa na mitazamo hasi hasi hasa kwa dini yetu hii ya...
  12. Yoda

    Nini kinaendelea kuhusu Novena ya Mtakatifu Ritha wa Kashia? Mbona imebamba sana?

    Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
  13. Mwanamke wa mithali 31

    Nahitaji soft copy novena ya Bikira Maria mfungua mafundo

    Novena ya Bikira Maria mfungua mafundo mwenye soft copy naomba anisaidie tafadhali
  14. U

    Naomba sana soft copy ya Novena

    Wadau hamjamboni nyote? Naomba mwenye Soft copy ya Novena anipatie. Ni muhimu sana. Shukrani.
Back
Top Bottom