nobel

The Nobel Prize ( noh-BEL; Swedish: Nobelpriset [nʊˈbɛ̂lːˌpriːsɛt]; Norwegian: Nobelprisen [nʊˈbɛ̀lːˌpriːsn̩]) is five separate prizes that, according to Alfred Nobel's will of 1895, are awarded to "those who, during the preceding year, have conferred the greatest benefit to humankind."
Nobel Prizes are awarded in the fields of Physics, Chemistry, Physiology or Medicine, Literature, and Peace (Nobel characterized the Peace Prize as "to the person who has done the most or best to advance fellowship among nations, the abolition or reduction of standing armies, and the establishment and promotion of peace congresses"). In 1968, Sveriges Riksbank (Sweden's central bank) established the Prize in Economic Sciences in Memory of Alfred Nobel, founder of the Nobel Prize. Nobel Prizes are widely regarded as the most prestigious awards available in their respective fields.Alfred Nobel was a Swedish chemist, engineer, and industrialist most famously known for the invention of dynamite. He died in 1896. In his will, he bequeathed all of his "remaining realisable assets" to be used to establish five prizes which became known as "Nobel Prizes." Nobel Prizes were first awarded in 1901.The prize ceremonies take place annually. Each recipient (known as a "laureate") receives a gold medal, a diploma, and a monetary award. In 2021, the Nobel Prize monetary award is 10,000,000 SEK. A prize may not be shared among more than three individuals, although the Nobel Peace Prize can be awarded to organizations of more than three people. Although Nobel Prizes are not awarded posthumously, if a person is awarded a prize and dies before receiving it, the prize is presented.The Nobel Prizes, beginning in 1901, and the Nobel Memorial Prize in Economic Sciences, beginning in 1969, have been awarded 603 times to 962 people and 25 organizations. Four individuals have received more than one Nobel Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Trump alikuwa anataka apewe Nobel Peace prize

    Unajua kuna mambo mengine hushangaza sana. Donald Trump, kuna kipindi muda si mrefu uliopita eti alikuwa anadai anastahili tuzo ya amani ya Nobeli 😂. Sababu eti ni kwa vile yeye ni mpenda amani na ni mtatuzi wa vita! Talk about being delusional and total lack of self awareness. And some...
  2. Wafahamu baadhi ya waafrika walioshinda tuzo ya amani ya Nobel

    Na Sophia Kiyenze Tuzo ya amani ya Nobel ni mojawapo ya tuzo kubwa na zenye heshima kubwa duniani ambazo zimekuwa zikitolewa kwa zaidi ya miaka mia moja sasa. Wako watu mashuhuri duniani waliowahi kutunukiwa tuzo hiyo ambayo hutambua mchango wa mtu katika nyanja mbalimbali ikiwemo siasa...
  3. Paul Dirac Alitaka kuikataa Tuzo ya Nobel kwasababu ya kuona Aibu na kukwepa attention na umaarufu

    ‎ Paul Dirac anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wakuu wa quantum mechanics, lakini simulizi za watu waliomfahamu zinaonyesha alikuwa mtu mwenye aibu sana na aliyekwepa attention na umaarufu kwa gharama yoyote. ‎ ‎Katika kumbukumbu na wasifu wake zilizohifadhiwa Cambridge alipokua...
  4. R

    Trump: Sijali kuhusu tuzo ya amani Nobel, najali kuokoa maisha, nimesitisha vita nchi zilizokuwa na mgogoro

    "Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo ya Nobel peace prize anajidanganya, Sijali kuhusu Norway wala jambo hilo, najali kuokoa maisha na...
  5. Trump ties Greenland takeover bid to Nobel Prize in text to Norway leader!

    I think scientists need to study Trump’s brain. It appears to be anomalous! Trump ties Greenland takeover bid to Nobel Prize in text to Norway leader — The Washington Post
  6. R

    Nobel yamkatalia Maria Corino Machado wa Venezuela kumkabidhi Trump tuzo yake ya amani (Nobel peace prize)

    Nobel Institute ya Norway imesema kuwa Tuzo ya Amani ya Nobel haiwezi kuhamishwa, kugawiwa wala kufutwa, hii ni baada ya mshindi wa tuzo hizo wa mwaka 2025 ambaye ni kiongozi wa upinzani nchini Venezuela, María Corina Machado, kusema huenda akamkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump tuzo yake ya...
  7. Tundu Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2026

    Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu. Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa kupendekezwa. Believe me Kwa yaliyomkuta Lissu, yeye ndo atashinda iyo tuzo 2026. Anae bisha...
  8. Mjue Bibi Hellen Johnson Rais wa Liberia na mshindi wa Nobel 2011 aliyekataa kuitumbukiza nchi yake kwenye umwagaji damu

    HELLEN JOHNSON SIRLEAF. ALIONDOKA IKULU BILA MIKONO YENYE DAMU. ----------------------------------------------------- Hakuna damu iliyomwagika. Naondoka ikulu ya "Monrovia" nikiwa na mikono safi. Kama nitahukumiwa siku moja ni kwa dhambi nyingine. Lakini si ya kupora maamuzi ya uma kwenye...
  9. M

    GE2025 Kweli Rais Samia anastahili tuzo ya Nobel kama anavyopambwa na chawa Eric Shigongo?

    Nasikiliza kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan akiwa jijini Mwanza. Kuna mgombea wa Buchosa akiwa anatetea ugali wake nimemsikia akimpamba sana Mama Samia na kufikia kusema anastahili tuzo ya Nobel. Vipi mnakubaliana naye?
  10. Ndani ya mwaka kuna mwanasiasa kutoka Afrika mashariki atakuwa nomited kuwania tuzo ya Nobel

    Hii habari imenishtua mno. Hapa marekani nimekutana na taasisi Moja, nimeambiwa ndani ya mwaka kuanzia Sasa kuna mwanasiasa kutoka Africa mashariki atachaguliwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel. Binafsi nimefurahi mno, maana tuzo hii alishinda mkongo mmoja mwaka 2018, tunataka na mtu kutoka East...
  11. Mtetezi wa Haki za Wasichana Duniani na Mshindi wa Tuzo za Nobel MALALA yuko Nchini, Serikali Iko bize kuhudhuria Happy Birthday za Wasanii

    Aliyeturoga hii Nchi , alishakufa !!. Huyu Binti Malala , Mtetezi wa Haki za Waschana Duniani na Mshindi wa Tuzo ya Nobel, Mschana alonusurika kuuwawa Kwa kupigwa Risasi za Kichwa kama Alivyonusurika LISSU , hamna asiyemjua. Jicho la Dunia lote liko linamlinda, popote anapoenda , Mguu wake...
  12. Asilimia 2.07% ya waarabu wameshinda tuzo ya Nobel Duniani toka mwaka 1901 mpaka 2025. Pongezi kubwa kwao

    Hadi mwaka 2024, zaidi ya Waarabu 20 wamepokea Tuzo ya Nobel katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amani, fasihi, na sayansi. Hii ni idadi ndogo ikilinganishwa na Wayahudi, ambao wamepokea zaidi ya tuzo 200, licha ya kuwa na idadi ndogo ya watu duniani. Washindi Mashuhuri wa Tuzo ya...
  13. 25% ya nobel prize wameshinda Waisrael wakati dunia yote ni 75% tu! Hawa watu walichaguliwa na Mungu

    Hapa tunaongelea Ugunduzi na mchango wa technolojia zilizobadilisha maisha ya watu dunia. Waisrael wapo milion 15 tu duniani katika dunia yenye watu Billion 8. Lakini mchango wao kwenye hii dunia hasa wa uvumbuzi wa vitu na technolojia umekua n mkubwa kupitiliza….. kwa uchche wao ndio lakini...
  14. "Theft" - A new book by Abdulrazak Gurnah is out

    The Zanzibari-British Nobel laureate (Literature, 2021) Abdulrazak Gurnah, released his first book after receiving the Nobel Prize. Titled simply "Theft", the book is out since March 18 2025. I have already received one copy and ordered one for a friend so we could read together...
  15. L

    Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote. Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake...
  16. List of all Nobel Prize winners in Physics from 1901-2024

    Wa kwanza kabisa alikuwa Mjerumani; Wilhelm Röntgen mwaka 1901 Wa pili walikuwa waholanzi wawili; Hendrik Lorentz na Pieter Zeeman mwaka 1902 Mwaka 1921: Albert Einstein Miaka 20 baadaye tangu kuanza kwa tuzo; kichwa kingine tena kibaya duniani kutoka Ujerumani Albert Einstein kikaibuka na...
  17. Rais Mstaafu Donald Trump Alistahili Nobel Prize

    Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani. 1. Aliondoa majeshi yake Somalia 2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong 3. Alifanya...
  18. Rais Mstaafu Donald Trump Alistahili Nobel Price

    Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani. 1. Aliondoa majeshi yake Somalia 2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong 3. Alifanya...
  19. Nobel Prize inamnyemelea Rais Samia

    Rais Mama Samia akiendelea hivihivi na juhudi za kujali hali za wananchi wa kawaida na kukuza demokrasia nchini lazima atapata mojawapo ya zawadi za amani za Nobel au Mo Ibrahim, Inshallah. Watu wanasema ukimsifu sana mgema anaweza kulitia maji tembo, lakini kwa mama Samia mimi ni miongoni mwa...
  20. C

    Rais Samia alikuwa na nafasi ya kushinda tuzo la amani ya Nobel, lakini kesi dhidi ya Mbowe imemuharibia, bado ana nafasi, ajirekebishe

    Shalom from Jerusalem, Licha ya ukweli kwamba Rais Samia alikuwa kwenye utawala wa dikteta Magufuli alikuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilika na kusimamia matakwa yote ya demokrasia na kuheshimu sheria kwa ustawi wa nchi lakini amejiharibia kuendelea kukomaa na kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…