Habari wanajamvi, eti kuna njia ya kupunguza mzigo wa majitaka kwa njia mbadala.
Kuna mtu kanishauri ninunue chumvi kg 5 , chlorine lita 1 na chokaa kg 5 nichanganye pamoja halafu nimwage ndani ya shimo?
Je ni kweli? Nahofia nisije nikatengeneza bomu mambo yakaharibika zaidi