Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo.
Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe wanakatiza, wanatoka jasho hapo wanaenda kuoga na baada ya nusu saa tena wanapita kwa staili hiyo...