NIMEULIZWA: NIOE AU NIOLEWE WAPI?
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Watu kadhaa wameniuliza swali hili Baada ya kusoma Makala yangu inayomhusu Kaka Mkubwa PFunk Majani.
Wameniuliza; NIOE wapi? Kwa upande wa wanaume.
Wanawake nao wakaniuliza; TUOLEWE wapi?
Kwenye kuoa na kuolewa kuna maswali Makuu...