nimemaliza chuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rasmi nimemaliza chuo, bila mshahara wa milioni moja sifanyi kazi. Tumshauri au tumuache!

    KWEMA WAKUU NA WAKURUGENZI, mambo nadhani yanaenda fresh. Kuna wale hujanasibu pindi wanapomaliza chuo kuwa bila kiasi fulani hapigi kazi, bora asikilizie deal lingine. Una lipi la kuwashauri wahitimu wa design hii? Courtesy: MwananchiNews
  2. JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

    Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda Depression
  3. JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo, Sasa naingia kwenye malori

    Wakuu ipo hivi Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti) KAZI ya vishoka Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu. Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi. Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata...
  4. JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo Jana, huu ndio mtaji wangu...

    Amaa kweli kuwa uyaone... Huu ndio mtaji wangu ambao utabadilisha maisha Yangu. Hii ni elfu Saba za kitanzania Nipeni mbinu za kukuza mtaji wangu wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…