niliona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani

    Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani. Ilikuwa ni mgahawa mmoja huko Tanga nilikuwa nimeenda kula. Rafiki yangu alinishauri kula hiyo sehemu kwa sababu chakula chao ni kitamu sana. Kwa kuwa hoteli niliyokuwa nimefikia ilikuwa karibu...
  2. Dkt. Mollel: Niliondoka kule kwa kuwa mimi sio fala, niliona napishana na hela

    Naibu Waziri Wa Afya, Dr. Mollel Amewaambia Wananchi Wa Jimbo Linaloongozwa Na Mbunge Profesa Mkenda Kuwa, Watu Wa Rombo Waendeleea Kumuunga Mkono Mbunge Huyo Lakini Amekumbushia Kwamba Aliondoka Chama Chake Cha Zamani Kwa Kuwa Aliona Anapoteza Muda Kwa Kuwa Walikuwa Wanaandamana Muda Mwingi.
  3. Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

    Kwema wakuu Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife. Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana...
  4. Niliona makaburi ya wafalme yamebomoka

    Makaburi yamebomoka mizizi imekatika, Limebaki shina tu, Zile zama za zaman zimeisha, Kiburi na dharau zilikuponza, Ulipenda kutumia nguvu kuliko akili, Ulikataa maonyo ukakumbatia kiburi, Ulimkufuru Mungu maksudi, Utupu wako uko wazi kila mtu anauona, Maji yaliyopoa ndo yenye nguvu...
  5. M

    Niliona Post humu kuwa Iran ingefunga anga trh 4 - 6. Kiko wapi!

    Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia. Nakumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja. Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
  6. O

    Nyota kujipanga mstari angani

    Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
  7. Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

    Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani. Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…