nikki mbishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    Nikki Mbishi ni Mfalme wa Bongo Hip Hop. Unju ni GOAT!

    Nikki Zohan, Baba Malcom, Unju Bin Unuk, naweza kusema ni miongoni mwa marapa zangu bora wa wakati wote. Kuanzia Lyrical ability, Theme, Cohesiveness, Frestyle, Punchline, Skill, Performance, Sound, Rhyme Schemes, Rhyme Patterns, World Play, Strategic Features & Lyrical Content, all on point...
  2. M

    TANZIA Baba Mzazi wa Nikki Mbishi Afariki

    Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania, Nikk Mbishi, amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi, John Marwa Machuche, kilichotokea tarehe 02 Agosti 2025. Msiba ulihudhuriwa nyumbani kwa marehemu, Mzee Machuche, katika Mtaa wa Kwa Makobe, Ukonga. Ibada ya misa takatifu ya...
  3. NALIA NGWENA

    Mashabiki wa Montra the future , mwambieni Nikki mbishi alishauliza "where my crown at?? diss ya "my crown" ni utoto unamsumbua tu

    Motra the future tofauti na diss track ukisikiliza nyimbo zake zingine huwezi kumuelewa kabisa, katoa diss trck mwenyewe nadai kuwa ni east africa diss track, ukiisikiliza kachana utoto mtupu ukianzia kuchagua mdundo na punchlines zake kiufupi bado kabisa hana kiwango cha east africa kama...
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    Bonge la Ngoma: Nikki Mbishi Fit Mama. Sikiliza mwenyewe hapa

    https://youtu.be/WDTZHBAdsv4?si=NlySPzTCFWaIXiUd
  5. Papillon 1906

    Spana za unju by Nikki Mbishi album kali

    Sikilizia mkwaju namba 11
  6. kajamaa kadogo

    Kwangu ukimtoa Joseph Haule (Prof Jay), msanii wangu bora wa Hip Hop ni Nikki Mbishi. Nenda YouTube kaangalie kazi yake mpya inaitwa Romanza

    Ili umuelewe lazima uwe umesoma Cuba au una C flaat kwa sababu nikki mbishi huwa hawaimbi vilaza kabisa.Yeye yupo mbele muda https://www.youtube.com/watch?v=hdA0WP4skII
  7. Msolo

    Nikki Mbishi - Katiba Mpya New Song

    Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
  8. Analogia Malenga

    Ladha ya Wafalme wa Underground. Nikki Mbishi, One the Incredible na Stereo Singasinga

    THE UNDERGROUND TASTE WITH THE BEST TRIO/ TRINITY SISI THE TRIO NIKKI MBISHI, ONE THE INCREDIBLE NA STEREO SINGASINGA. Wachora ramani na wachonga njia ya Rap ya kisasa Bongo iliyojikita katika matumizi sahihi ya midundo ya HIP HOP. Walimu wazuri na wakuu wa mtindo wa vina mshono ambao unaitwa...
Back
Top Bottom