Miaka ya Nyuma haya mambo ya kutekwa na kupotea yalikuwa Zanzibar wakati Marais wakiwa Wabara. Hadi sasa kuna wakimbizi wa Zanzibar huko kenye waliokimbia utekaji na Virungu vya Polisi.
Kipindi hicho hakuna hata Mbara aliyetutea..
Sasa ni zamu yenu.. Mtatekana na kuuana hadi mtubu kwa Mtume...
Waliolala ni haki yao.. Na wakeshao pia ni haki yao
Maonyo manne
1Mwanangu, kama umejitolea kumdhamini jirani yako,
ikiwa umetoa ahadi yako kwa ajili ya mtu huyo,
2umejibana kwa maneno yako mwenyewe,
umejinasa kwa ahadi uliyofanya.
3Ujue kwamba uko chini ya mamlaka ya mwenzio,
lakini mwanangu...
Ukumbusho wako wa kirafiki kwamba kumekuwa na ushirika kila wakati. Tangu zamani mpaka sasa... Duniani kote.. Kuwa mshirika... Jiunge na mtandao Jenga jumuiya yq wazalendo wa Tanganyika Kuza upinzani. Huu ni wakati wetu..
It is NOW...! or NEVER...!
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
Gen Z tupo?
Tumekuwa tukisemwa sana hadi na mabroo kuwa tumelala, tupo nyuma, ninwaoga kama kunguru kukimbiza mabawa, lakini je, hilo ni kweli?
Najua tuko wengi humu kwanini sasa kwanini hatushiriki kudai haki zetu?
Kizazi chetu ndio kinaongoza kutumia teknolojia vizuri hata millenials...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.