nguvu

  1. Kwanini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Lissu na hatufanikiwi?

    Mbona tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Tundu Lissu? Kuna swali najiuliza ni kwa nini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Mh Tundu Lissu? Halafu mwisho wa siku hatufanikiwi. Nina mifano michache ya kutoa: Mfano wa kwanza, kipindi Tundu Lissu anagombea urais wa Chama cha Mawakili Tanzania, nguvu...
  2. Mfumo hauhitaji akili za maskini, unahitaji tu nguvu zake. Anapofikiri anakuwa tishio, lakini anaponyamaza anatumika, anakuwa rasilimali

    Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
  3. Nguvu ya kinga mvuto wa pesa

    Hii picha ya sigil Tayari ina: Nguvu ya kinga (alama ya jicho na siraha za ulinzi). Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio). Vichocheo vya nishati (alama za sayari, nyota, na pentagram). Unachotakiwa kufanya sasa: 1. Ichapishe au ichore kwenye karatasi ya kawaida nyeupe. 2...
  4. Ushauri: Tuunganishe nguvu EAC tuwaondoe kwa chaguzi Marais wote madikteta

    Tanzania- full dikteta Kenya - full dikteta Uganda - full dikteta Rwanda- full dikteta Burundi- full dikteta Kongo-full dikteta Mozambique-full dikteta Tunazidiwa na nchi Kama Zambia Vijana wa East Africa tuamke turudishe nchi zetu kwenye utawala wa Sheria Haki Uwajibikaji Uwazi Na kukomesha...
  5. Hawa ndio maana halisi ya "COUPLE YA NGUVU"

    Ngoja siku akijua mchepuko wa mmeo.
  6. Ni basi tu Zuchu yupo katika platform ya nguvu ila Abigail ana mpiga chini kimuziki

    Melody. Style. Sauti. Mashairi. Urban style. Najua mtanipiga mawe ila thats my view.
  7. Nguvu ya Mafuta: Safari ya Mfalme Faisal na Siri ya Kifo Chake

    Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia. Uamuzi Ulioitikisa Dunia Wakati wa Vita ya Waarabu na Waisraeli (maarufu kama...
  8. U

    Kwanini Mungu aliwapenda ,kuwatetea, kuwapigania na kuwalinda Wayahudi? Je mataifa mengine kwanini hawakupewa upendeleo huo mkubwa?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafadhali toa sababu za msingi ukinukuu vyanzo makini Lugha zisizo na staha haikubaliki Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
  9. Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa

    Nilimsikia tulia anasema "huwezi kusema mtu ametekwa wakati hujamuona" kwanza kutekwa ni kupi ? Tulia kutekwa ni kuchukuliwa kwa nguvu na watu wasiojulikana na kupelekwa sehemu isiyofahamika sio hadi uone akitekwa ndio tuseme ametekwa. Tuache kukwepa hoja siziso za msingi mtu aliyetekwa sio...
  10. Kutumia nguvu kubaki kwenye nafasi ambayo hukuitafuta ni kumkosea Mungu

    Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo...
  11. Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden

    Mzee Msuya aliwatumikia watanzania kwa nguvu, uwezo na akili zake zote - Mobhare Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden.
  12. Khan Younis imesawazishwa kwa kombola lenie nguvu kubwa

    Baada ya magaidi wa Hamas kuonekana wakijikusanya kwa wingi katika jengo moja huko Khan younis majeshi ya Israel yaliamua kulishambulia kwa bomu jengo hilo na kuangamiza kila kitu ki licho kuweto ndani na nje ya jengo hilo. Magaidi wa Hamas wamepata pigo kubwa sana baada ya watu wao wengi kufia...
  13. Tambua sauti yako ina nguvu kubwa kuliko unavyodhani, itumie kwa hekima

    "Busara ni zawadi ya wale wanaojua thamani ya ukimya, na uzito wa maneno." Katika maisha ya kila siku, tunakutana na watu wengi , familia, marafiki, majirani, au hata wageni. Mara nyingine tunadhani tunazungumza kwa upendo, lakini kwa bahati mbaya, maneno yetu huacha majeraha yasiyoonekana...
  14. K

    Je wasio julikana nguvu yao imemzidi Raisi Samia?

    Tunaona wanafanya vitu ambavyo havina maana je Raisi amesha zidiwa nguvu au ni yeye anawatuma?
  15. Tambua nguvu yako iko kwenye namna unavyoshughulikia majaribu

    Oprah Winfrey aliwahi kusema, "Hakuna kinachotutokea kwenye maisha yetu bila kuwa na faida. Hakuna kinachotupata, hata kiwe kibaya namna gani, kinachoishia kupotea bila faida." Maisha huja na changamoto, huzuni, makosa na maumivu. Lakini katika kila tukio, hata lile la kusikitisha au la aibu...
  16. Mwabukusi: Mdude asipopatikana tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa hapo kabla

    Tunatoa ultimatum,si bunduki itayotutusha Wala si yeyote,kama Mdude hasipopatikana basi tutaongea lugha ngumu haijawahi kuongewa na tutawajua ni kina nani wanawateka Watanganyika,hatuwezi kukaa katika nchi yetu halafu tunaogopa mtu fulani atatuteka.
  17. Soko la mafuta haya ya nazi hapa bongo limekuwa kwa nguvu mno

    MABAHARIA WASHAELEWA🤣
  18. Mziki mzuri toka nyikani unakuja tujiweke mguu sawa, unakuja kwa wema ulio wema, ukarimu Umoja na nguvu mpya!, yenye kasi mpya!

    Inshaallah tabarak!, dhamira ni kushika dola na nafasi za uongozi na si uana harakati! °Hata slogan yake inavutia kwa kweli, "CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA"
  19. R

    Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

    Lisu/Heche et all , for that matter Chadema mnajidanganya, Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Sidhani kama nguvu yenu na heshima yenu itabaki kama ilivyokuwa Na G 55 pia, Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Sidhani kama mtakako kwenda mtapata heshima kama mliyokuwa nayo chadema, likewise...
  20. Vyama vya siasa vingeweke nguvu kwenye mabadiliko ya kiuchaguzi ili muweze kufanya ushindani wa kweli na kujenga demokrasia

    Uchaguzi wa ushindani ndio tunao utazamia pale mgombea anaposimama na kueleza yale atakayo yafanya na kuyatekeleza kwa ushindani wa vitendo kwa upinzani, na sio uchaguzi wa kujiteuwa ulipo kwa kujificha kwenye kichaka cha demokrasia, hakuwezi kuwa na uwajibikaji hapo. Kwanini vyama vya kisiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…