NEST - National e-Procurement System of Tanzania is an electronic system that facilitates e-registration, e-tendering, e-contract management, e-payment, e-catalogue and e-auction.
HUDUMA ZA BOQ, RATE BUILD-UP NA NeST KWA WAKANDARASI WA LABOUR-BASED ROAD WORKS
Je, wewe ni mkandarasi wa Specialist Civil Works—Labour-Based Road Works na unapata changamoto katika kujaza BOQ, kuandaa bei za kazi au kuwasilisha tender kupitia mfumo wa NeST?
Natoa huduma za kitaalamu kwa njia...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wapili kulia), akimkabidhi Mguu wa Bandia mkazi wa Tanga mjini, Bi. Rehema Amour (wa pili kushoto), katika hafla ya Kugawa Miguu Bandia kwa watu wenye mahitaji maalum, iliyoratibiwa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga Mhe. Mwanaisha Ulenge...
Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata.
Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka...
Mfumo Nest ni mzuri sana sababu tenda zinakuwa wazi na nyaraka za tenda zinakuwa nazo wazi.
Ila gharama za ku apply tenda ndio zinaumiza sababu wazabuni wanakuwa wengi na hukikosa pesa imekwenda.
Kitu kingine mumeweza kuingiza shule nao wapitie kuomba kwenye Nest.
Ila tenda za walimu unakuta...
Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest
Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender
👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
Generation Samia imewahamasisha wakazi wa mkoa wa Kanda ya Ziwa kuchangamkia fursa ya bajeti ya asilimia 30 ya tenda za Serikali iliyotolewa makundi ya vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu kupitia Mfumo wa NeST.
Kwa kutambua kuwa vijana ni chachu ya mabadiliko, Generation Samia...
Mimi ni tenderer kwenye Mfumo wa Kielektroniki wa Manunuzi ya Umma (National - e - Procurement Systemwa - NEST) ambao mwanzoni ulikuwa mzuri kabisa.
Na kama kijana nilihamasika ku-comply ili niweze kuwa naomba kazi za Serikali, ni fani ya Ushauri Mazingira lakini kwa sasa pamekuwa pagumu sana...
Huu mfumo wa manunuzi serikalini kidigitali (National e-Procurement System of Tanzania) kwa kifupi NEST ni mfumo mzuri ambao utasaidia kupunguza upigaji na kuleta fair play kwenye kutoa tenda za serikali.
Ni kitu kizuri kuwahi kufanywa na serikali. Wajasiriamali wenye kampuni ndogondogo...
Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika
Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana
Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
Ni siku ya 3 sasa mfumo wa manunuzi wa serikali NeST unasumbua (haupatikani). Je hii ndio ile kuthibitisha kuwa Watanzania hakuna jambo tunaloliweza.?
Ikumbukwe kuwa mfumo huu unamilikiwa 100% na serikali hivyo wataalam wanaousimamia ni wa ndani. Na sio mara ya kwanza kwa kuwa mara kwa mara...
HOTUBA YA MHE. DKT. DOTO BITEKO, NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, AKIMWAKILISHA MHE. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI NA UZINDUZI WA MFUMO WA KIELEKTRONIKI WA UNUNUZI WA UMMA (NEST), TAREHE 9 SEPTEMBA 2024...