nemc

Tufts Medical Center (until 2008 Tufts-New England Medical Center) in Boston, Massachusetts is a downtown Boston hospital occupying space between Chinatown and the Boston Theater District.
The hospital is a center for biomedical research and is the principal teaching hospital for Tufts University School of Medicine where all full-time Tufts MC physicians hold faculty appointments; the center is connected to Tufts University School of Dental Medicine. Tufts Medical Center is subdivided into a full-service adult hospital and the Tufts Children's Hospital (originally a floating ship but presently on shore). Tufts Medical Center's president and CEO is Michael Tarnoff, MD. Tufts Medical Center is based in Boston, MA but also has satellite locations in areas including Quincy, Chelmsford, Framingham, and others. The hospital also has partnerships with Lawrence General Hospital and Lowell General Hospital and MelroseWakefield Hospital

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO NEMC na Polisi Iringa Mjini Mmelala? Bodaboda zinapiga kelele sana

    Kumekuwa na trend mbaya ya watumiaji wa bodaboda (pikipiki) kufanya maarifa kwenye Exhaust zao na kuleta usumbufu NOISE POLLUTION. Vyombo husika vimelala?
  2. F

    KERO NEMC Kanda ya Mashariki Kasikazini na changamoto ya udhibiti wa kelele kutoka nyumba za ibada jijini Dar es Salaam

    Katika Jiji la Dar es Salaam, changamoto ya kelele kupita kiasi kutoka katika nyumba za ibada imekuwa ikilalamikiwa kwa muda mrefu na wakazi wengi. Ofisi ya NEMC Kanda ya Mashariki imeonekana kushindwa kusimamia ipasavyo utekelezaji wa sheria na kanuni za mazingira zinazohusu udhibiti wa kelele...
  3. F

    KERO NEMC Imeshindwa Kudhibiti Kelele za Makanisa na Misikiti

    Ni wazi kuwa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshindwa kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kulinda mazingira na ustawi wa wananchi. Moja ya mifano ya wazi ni kushindwa kabisa kudhibiti kelele zisizokuwa na ulazima zinazotoka kwenye makanisa na misikiti, hasa katika...
  4. A

    KERO Wanaochimba mchanga Bunju Dogodogo Centre wanahatarisha maisha ya nyumba zetu, NEMC hawasaidii chochote

    Mimi ni mkazi wa Bunju Dogodogo Centre, kero yangu ni malori ya mchanga kuchimba mchanga bondeni karibu na makazi ya watu. Hali hiyo imekuwa ikihatarisha nyumba za Wakazi kubomoka kwa kupitiwa na bonde linaloendelea kujitokeza. Serikali ya Mtaa imejaribu kila njia lakini bila mafanikio...
  5. President of China

    NEMC yashiriki Mkutano wa UNFCCC Cop - 30 Brazil

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki Mkutano wa thelathini wa nchi wanachama wa Mkataba wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC COP-30), unaoendelea jijini Bélem, nchini Brazil kuanzia tarehe 03/11/2025 na unatarajiwa kukamilika tarehe 21/11/2025. ‎...
  6. amshapopo

    Kiwanda cha kahawa CMS Mbozi hakidhibiti vumbi la pumba za kahawa, NEMC fuatilieni

    Habari, Hiki kiwanda kipo mji wa Mlowo kina husika na kukoboa kahawa ila cha kushangaza hakidhibiti vumbi la pumba ya kahawa lisiende kwenye makazi ya watu. Hali hii imekuwa ni kero kwetu sisi wakazi na kutusababishia vifua vya mara kwa mara. Tunaomba NEMC mfuatilie na mchukue hatua stahiki
  7. Pfizer

    NEMC yakomesha uendeshaji holela wa kiwanda mtaa wa regent estate

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekichukulia hatua za kisheria kiwanda bubu cha SUMING kilichopo Mtaa wa Regent Estate katika Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni kinachofanya shughuli za urejelezaji wa taka hatarishi aina ya simu za kiganjani chakavu katika...
  8. N

    Plastic wrapping katika vituo vya SGR

    Kwa: Mkurugenzi Mkuu Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) S.L.P 63154 Dar es Salaam, Tanzania Yah: Ombi la Ufafanuzi Kuhusu Matumizi ya Plastic Wrapping kwa Mizigo ya Abiria wa SGR Ndugu Mkurugenzi, Napenda kuwasilisha taarifa na lalamiko kuhusu mwenendo unaoendelea...
  9. Just Pray

    PreGE2025 Aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC Mhandisi Dkt. Gwamaka Mafwenga Achukua fomu kutia nia ubunge jimbo la Rungwe

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Dkt. Gwamaka Samwel Mafwenga leo, Jumamosi Juni 28.2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Rungwe...
  10. Pfizer

    NEMC yabainisha madhara ya matumizi ya plastiki, yatoa wito wa kuchukua hatua kudhibiti athari za mazingira

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limebainisha kuwa matumizi ya plastiki yameendelea kuwa chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira, yakiwa na madhara kwa afya ya binadamu na ikolojia ya ardhi Kauli hiyo imetolewa leo, Mei 26, 2025, na Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt...
  11. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuibadili NEMC kuwa NEMA (Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira)

    SERIKALI KUIBADILI NEMC KUWA NEMA (MAMLAKA YA USIMAMIZI MAZINGIRA) Ofisi ya Makamu wa Rais imesema mchakato wa kulipa mamlaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) upo katika hatua mbalimbali za utekelezaji kupitia mchakato unaoendelea. Kuifanya NEMC kuwa mamlaka kutaipa...
  12. W

    NEMC mbioni kushirikiana na Qatar

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kupitia Ubalozi wa Tanzania nchini Qatar wameshiriki mikutano mbalimbali yenye lengo la kuanzisha mashirikiano katika masuala mbalimbali ya Mazingira na mabadiliko ya tabianchi pamoja na kubadilishana uzoefu. Akizungumza na ujumbe toka...
  13. hon daniel killion

    Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  14. Pfizer

    NEMC kuadhimisha siku ya Kimataifa ya kupunguza Taka, kuanzia tarehe 28 hadi 30 Machi 2025

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa maonesho ya siku tatu kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya kupunguza taka yanayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Machi mwaka huu...
  15. popah21

    KERO Vumbi la koyla changamoto kubwa Kiomoni

    Wananchi na wakazi wa kata ya Kiomon hususani wanaoishi katika mtaa wa Kiomon tumekua tukipata kadhaa kubwa ya vumbi la Koyla kutoka katika viwanda vinavyozalisha chokaa, hususani kiwanda cha NEELKANTH, kila inapofika majira ya saa 4 usiku kila siku vumbi lisilo la kawaida limekua likifika Kwa...
  16. Pfizer

    NEMC yasisitiza utunzaji wa mazingira katika Soko Kuu la Kariakoo

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa elimu na kusisitiza suala zima la utunzaji na usimamizi wa Mazingira katika soko kuu la Kariakoo litakalokuwa linafanya kazi kwa masaa 24. Akizungumza katika Maonesho ya uzinduzi wa biashara ya saa 24 katika Soko kuu la...
  17. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Mazingira na NEMC- Kelele mitihani ni tishio la afya za wananchi na Ustawi wa Taifa

    Ndugu mheshimiwa Waziri naandika haya kukujuza kuwa. Kwa sasa nchini kiwango cha kelele mitaani kinatisha, ni jukumu la serikali kuchukua hatua ili kulinda Afya za wananchi na ustawi wa Taifa. Ndugu Waziri, leo hii kwenye vituo vya mabasi, masokoni, mitaani, kelele zimekuwa ni nyingi na tena...
  18. I

    KERO Wakazi wa Msasani Mikoroshini tunateseka maji taka yanatiririshwa Mtaani makusudi, tumeripoti NEMC ila wametuacha tupambane wenyewe

    Hapa mtaani kwetu kuna changamoto ya kimazingira inaendelea huu ni Mwaka wa tatu sasa maeneo ya Msasani Mikoroshini yanaathiriwa na maji taka yanayotoka kwenye makazi ya mtu mmoja ambaye ni kama imeshindikana kumdhibiti kwa kile kinachoonekana yeye ana nguvu kuliko wengine. Kwa ufupi ni kuwa...
  19. pantheraleo

    Dodoma: NEMC Kanda ya kati, kufanyia kazi Malalamiko kuhusu athari za sauti. Imekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji

    Dodoma: BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kanda ya Kati kwa kipindi cha Julai, 2024 hadi Januari, 2025, limekagua na kutembelea miradi 603 ya uwekezaji katika Mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida ikiwa ni asilimia 75 ya makadirio kwa mwaka 2024/25. Kaimu Meneja wa NEMC...
  20. Pfizer

    NEMC yaitahadharisha Jamii kuhusu Majanga tarajiwa yatokanayo na Mvua pamoja na tabianchi

    Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi ameitaka jamii yote kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka za usimamizi na kuchukua hatua za kujilinda na hali ya hatari tarajiwa katika mazingira. Ameyasema hayo leo tarehe 02...
Back
Top Bottom