neema lugangira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Neema Lugangira achukua fomu ubunge viti maalum Asasi za Kiraia (NGOs)

    Neema Lugangira aliyekuwa Mbunge Viti Maalum CCM - Kundi la NGOs amechukua Fomu ya Kugombea Ubunge wa Viti Maalum NGOs katika Uchaguzi ujao 2025. Lugangira anatetea nafasi aliyoitumikia katika Bunge la 12, 2020-25 kwa mafanikio makubwa yaliyopelekea CCM kuongeza nafasi ya Uwakilishi kwa Kundi...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mbunge Neema Lugangira ataka Ilani ya CCM ijayo izingatie maendeleo ya kidijitali na matumizi sahihi ya AI kwa manufaa ya Taifa

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Neema Lugangira, ametamani Ilani ijayo ya chama hicho izingatie kwa kina maendeleo ya kidijitali na matumizi sahihi ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI) kwa manufaa ya taifa. Akizungumza na wanahabari katika viwanja vya...
  3. B

    Mbunge Neema Lugangira - Mikakati na Umuhimu wa Akiba ya Chakula Tanzania

    NEEMA LUGANGIRA - AKIBA YA CHAKULA, LISHE BORA NA VITA DHIDI YA UDUMAVU https://m.youtube.com/watch?v=-CFktS9RDBY Neema Lugangira mbunge wa viti maalum asasi zisizo za kiraia azungumzia mikakati ya Akiba ya Chakula ( food security ) ya Tanzania. Udumavu uliokithiri katika kaya za kiTanzania...
  4. M

    PreGE2025 Mbunge Neema Lugangira atoa msaada wa rangi Msikiti wa Matopeni Kashai

    Mbunge wa Viti Maalum Taasisi zisizo za Serikali(NGO) ameendelea kujiimarisha katika harakati za Ubunge Bukoba Mjini kwa kuendelea kutoa misaada mbalimbali Pia soma Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  5. Waufukweni

    LGE2024 Kagera: Mbunge Neema Lugangira apiga Kura Shule ya Sekondari Kahororo

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anaewakilisha Asasi za Kiraia Tanzania Bara Mheshimiwa Neema Lugangira amepiga kura kuamua Fyucha ya Kitaa kwenye kituo cha kupigia kura shule ya sekondari Kahororo Mtaa wa Rwome, Kata ya Kashai Bukoba Mjini.
  6. J

    PreGE2025 Neema Lugangira awa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha Manispaa ya Bukoba

    Mbunge wa Viti Maalum mh Neema Lugangira amewashukuru Sana Waislamu wa Manispaa ya Bukoba kwa kumualika Kuwa Mgeni Rasmi Baraza la Eid Al Adha Neema amemshukuru Sana Mungu wa Mbinguni akisema alipopata Mwaliko alijitafakari kama Mkatoliki Je nitaweza?! Mungu wa mbinguni akamwezesha Ikumbukwe...
  7. Stephano Mgendanyi

    Maoni ya Mbunge Neema Lugangira kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika, CAADPBR

    Mbunge wa Viti Maalum CCM - Kagera Mhe. Neema Kichiki Lugangira, Anaandika; Namshukuru Mhe. David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa kunipa fursa ya kuwasilisha Mada kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika CAADPBR kwa Tanzania...
  8. beth

    Mbunge Neema Lugangira: Sheria ya Ulinzi wa Data iharakishwe

    Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Amesema, "Natambua zipo Asasi za Kiraia ambazo zimeshaanza Mchakato huu, mfano ni Jamii Forums na...
  9. Cannabis

    Mbunge Neema Lugangira(Viti Maalum) ashauri Biashara za Mtandaoni kuanza kutozwa Kodi

    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo amenukuliwa akisema "Biashara ikifikia mauzo ya 4m, TRA wanatoza Kodi ya 100k/mwaka. Biashara ikifikia mauzo...
  10. Mchochezi

    Mbunge Viti Maalum Neema Lugangira ampongeza Rais Samia kwenda Marekani

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni, Mbunge wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira amempongeza Rais Samia kwenda Marekani kuhudhuria Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Sasa ndugu zangu wa Uvccm hili jambo nalo la kusifia kweli? Yaani sasa hivi kila jambo mnasifia kweli maisha bila unafki...
  11. beth

    Mbunge Viti Maalum, Neema Lugangira: Sheria za kugharamia matunzo ya watoto zina changamoto

    Mbunge wa Viti Maalum Neema Lugangira amesema bado kuna changamoto kubwa kisheria kwa upande wa suala la kugharamia matunzo ya Watoto kwa Wanawake wanaoachiwa kuwalea bila msaada wa Baba. Akiwa Bungeni amehoji kama Serikali haioni haja ya kurekebisha Sheria zilizopo ili gharama ya matunzo ya...
Back
Top Bottom