Wananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere. Ni mkombozi mkubwa. Changamoto ni tozo. Daladala moja inatozwa Sh5,000 ikienda mara kumi kwenda na kurudi ni Sh100,000 kwa siku. Hapo hajaweka mafuta, hajaweka hela ya tajiri-@DocFaustine
“Nakuomba sana Rais twende...