ndugai

  1. M

    Kassim Majaliwa: Tuache tabia ya kuwatengenezea viongozi migogoro, unaweza kupambana sana ukitaka ukae ukakuta anakaa mwingine

    Katika hali isiyodhaniwa na wengi Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe Majaliwa Khassim Majaliwa amfunda Mhe Job Yustino Ndungai kuhusu nafasi ya Urais, =========== Kassim Majaliwa: Madaraka yote yanatolewa na mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu amepanga kila kitu nani atakuwa nani katika kipindi gani...
  2. Kumbe Ndugai ndio kiongozi wa hili kundi mtandaoni

    Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia Akaja Polepole na Shule ya Uongozi Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk" Sasa Ndugai katoa siri yao na...
  3. Ndugai ashukiwa "kama Mwewe" na Mwenezi wa Njombe

    Kama huna bando ni hivi, Ndugai aliupata Uspika kwa fitna dhidi ya Mama Anne Makinda, Ndugai alitibiwa kwa mamilioni ya fedha ughaibuni na hajapona Bado, Ndugai ana tabia ya kuwachapa bakora wapinzani wake... Na Kali kuliko zote, Ndugai anawashikilia Wabunge 19 wasio na vyama kinyume na Katiba...
  4. D

    Msitu umejaa wawindaji. Miruzi mingi humpoteza mbwa, hata kwa Ndugai tutahama kama ilivyokuwa kwa Polepole.

    Nitarudi baadae, kama wengine hawajanielewa. Nasongea kuangalia Mayele, Fei na wataalamu wa mpira wa Yanga.
  5. M

    Spika Ndugai hamia CHADEMA, CCM kuna udikteta na hawapendi kukosolewa

    Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani? Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo. Wewe unasimamia Bunge na linatakiwa kuwa imara ili kuisimamia serikali. Sio Bunge linalodharaulika kama Prof Assad...
  6. T

    Tatizo siyo Ndugai kumkosoa mama hata Nancy Pelosi, Spika wa US alichana hotuba ya Trump mbele yake. Tumeanza kukopa juzi na jana Ndugai akiwa Spika

    Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee leo?
  7. M

    Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

    NDUGAI AOMBE RADHI Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni...
  8. U

    Nashauri Spika Ndugai ajiuzulu

    Ndugu zangu wa JF Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
  9. T

    Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

    Kwa miaka 5 na miezi kadhaa, yaani kuanzia 2015 hadi March 2021 Magufuli amekopa kiasi cha Trillioni 36, kwa wastani wa Trillioni 7 kwa mwaka. Magufuli amefariki March 2021 Deni la Taifa liko Trillioni 72. Kwa muda wa miezi 9, yaani kuanzia March 2021 hadi December 2021 deni la Taifa ni...
  10. H

    Ahsante Ndugai, tutakuelewa baadae baada ya mnada

    Napongeza kauli ya Mh. Spika, imetoka sehemu nyeti sana na kwa mtu asiyetegemewa kusema aliyoyasema, lakini ameyasema mimi kwangu ni ushujaa na upendo kama yamesemwa katika jicho pana la tahadhari ambayo katika nafasi anajua na kuyaona zaidi kuliko sisi wapiga zumari. Kwa kifupi zimesemwa na...
  11. B

    Spika Ndugai kaa na Mama Makinda akufunde, hukufundika vyema

    huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda. mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti za JOB Ndugai 1: Bunge tunakupongeza Rais Samia kutuletea mkopo Trillion 1.3, hii ni boost kubwa...
  12. F

    Kati ya Spika Ndugai, Balile na Gavana Luoga nani mkweli kuhusu deni la taifa?

    Kuna mkanganyiko mkubwa nchini katika utoaji taarifa za deni la taifa. Kuna usemi kuwa miluzi mingi huchanganya mwelekeo wa Mbwa. Ndugai ni Spika, Balile ni Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Luoga ni Gavana, sasa nani ana taarifa sahihi za kutufanya tumuamini? Ndugai amesema deni la taifa ni...
  13. Rais Samia wewe fanya kazi, usiwasikilize wanasiasa kama Ndugai

    Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele. Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake. Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na...
  14. Spika Ndugai: Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri

    Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa...
  15. Bila Magufuli SGR isingekuwepo

    Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela". Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu. Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo...
  16. Spika Ndugai amesema kuna upotoshaji mwingi unaendelea nchini, adai kuna wakati sheria za hovyo zinapitishwa bungeni

    Akiwa kwenye kongamano lililokuwa limeandaliwa na vijana wenyeji wa dodoma ambapo alialikwa kama mgeni rasmi katika kongamano hilo, spika Ndugai amedai kuwa kuna upotoshaji mwingi sana unaendelea nchini. Akitolea mfano suala la yeye kupingwa, Ndugai amesema anapingwa si kwa sababu ana pungufu...
  17. F

    Hivi Ndugai hawezi kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge?

    Nadhani ni wakati muafaka kwa Jobo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya Bunge ili aeleze kwa nini awamu ya tano hakuwahi kuhoji kuhusu serikali kukopa? Awamu ya tano ilikopa takribani trillion 29, leo anahoji serikali ya mama kukopa
  18. Spika Ndugai apinga agizo la Serikali kuzuia wanafunzi kusoma wakati wa likizo, aahidi kulifikisha Bungeni

    Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo. Spika Ndugai amesema wananchi...
  19. Ndugai alimaanisha nini kusema 2025 wananchi wawapime kama wataendelea na hawa wakopaji?

    Nimeshindwa kuelewa kwa kina juu ya maneno ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Spika nilimwelewa kwamba kuna tozo zinazoendelea kutozwa zililenga kuondoa upungufu wa madarasa. Lakini tutakopa tena 1.3 trioni kwa ajili ya kujenga tena madarasa. Ukweli ni kuwa tozo pekee...
  20. F

    Kauli ya Ndugai kuhusu mikopo ya serikali inapiga king'ora cha tahadhari kwa taifa

    Ninaifananisha kauli ya Mhe. Ndugai kuhusu deni la taifa na hadithi hii niliyoghani. Vumilia usome mwanzo mwisho utapata cha kujifunza kwa nchi zetu hizi maskini. Taifa moja maskini sana duniani huko bara Asia limepitisha sheria ambayo haikuwahi kuwepo duniani na Mbinguni ili kukusanya mapato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…