ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Utatumia mbinu gani kukwepa ndoa ya kimasihara?

    ikitokea Umemleta demu ghetto ukidhani atakaa siku moja mara ghafla anakata wiki nzima, hujakaa sawa anafuata kwao mabegi na baadhi ya vyombo, mara ghafla anaanza kukuuliza mtoto wetu wa kwanza tutamuita nani?, wakati huna hata mpango wa kuoa, je utalikiambia ghetto lako au utatumia mbinu gani...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa ina faida gani ?

    Wazee wamenikalisha kikao, wameniambia nifunge ndoa .. Ila Sasa Mimi, ni team Kataa ndoa pia Mimi ni Atheist 😔 ( siamini kwenye hayo mambo ya ndoa Wala Mungu)Yani Sina mpango wa kuoa for my lifetime. Ila Sasa wazee ndio wamekomaa balaa , Yani familia imewasha moto kuhusu swala la kufunga ndoa...
  3. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya mapenzi na ndoa huitaji mtu mmoja mjinga, two smart people they can’t ever fall in love

    Hili jambo nmekuwa nikilichunguza Kwa mda sana Hadi nimefikia hitimisho ukweli kabisa watu wawili hawano jielewa na kujitambua they can't fall in love Mapenzi HUITAJI mjinga mmoja na mwenye akili mmoja so tafuta mjinga wako au wewe kuwa mjinga ili upate mwenye akili Ni Hilo tu nawafundisha...
  4. JamiiForums Tanzania Taasisi ya ndoa iko majaribuni

    Wanaume wanalalamika wake zao wanachepuka,wanawake nao wanalalamika wanaume wanachepuka,kama hiyo haitoshi wake wanataka kuliwa kwa mpalange na wanaume wanataka kula kwa mpalange,hivi mkichepuka bila kula au kuliwa kwa mpalange hamridhiki?
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke Usiingie kwenye ndoa kama una hivi vitu

    Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii ya takatifu. Kama mwanamke unajiona katika hali zifuatazo, pengine unapaswa kufikiria tena kabla ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaongoza kuvunja ndoa Kilimanjaro

    Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki Miji hiyo yote zinaendeshwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo. Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa. Ukiwa mume mkeo...
  9. JamiiForums Tanzania Njia ya kulinda Mali yako. usipoteze kwa kigezo cha Ndoa au Mapenzi

    Kama umepambana na una Mali nyingi usioe. Tafuta mwanamke uwe nae kama mpenzi tu. Jenga nyumba Sehemu na umueleze huyo mwanamke kua umempangishia. Umiliki wa hiyo nyumba hata kama uko kwa jina lako tafuta ndugu yako, asajili Taarifa za umeme kwa jina lake. Inamaana hata huyo mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Mimi ni Mama wa miaka 38, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu lakini sasa mambo yamebadilika

    Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu kufanya kila kitu ninachotaka na haongei sana. Tangu nakutana naye mimi niikua mtu wa club na kupost...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoa

    Raha ya ndoa, mume na mke kulala pamoja na kuamka pamoja! Hii ya mwanaume kuwa dodoma mwanamke yupo mwanza hiyo sio ndoa na sio tafsiri ya ndoa kimaandiko, maana lengo la watu hawa kuoana ni kuwa mwili mmoja kila mmoja kumlinda mwenzake! Sasa mmoja akiwa dar na mwingine kigoma huo tena sio mwili...
  13. JamiiForums Tanzania Mabinti wanalilia NDOA lakini hamziwezi

    Mnakesha kwenye nyumba za ibada kuomba waume wa kuwaoa. Ila mkishaolewa mnazidisha kiburi, umalaya, uvivu na uchafu wa mwili. Hiyo NDOA itadumuje?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

    Morning, Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni? Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika...
  16. JamiiForums Tanzania Maumivu makali ya mgongo mara baada ya tendo la ndoa

    Kwema Jf Doctors? Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?
  17. JamiiForums Tanzania Inawezekanaje mtu akampenda mchepuko sana kuliko mke wa ndoa?

    Haya nimeulizwa hilo swalo naomba jibu Nyie mnaopenda michepuko sana kuliko wake za ndoa mje mjibu nini mbaya? Na sahivi imekuwa kama tabia na inaenda kuwa legalised Sijui mtaishia vipi watoto wa sahivi?
  18. JamiiForums Tanzania Video: Kwenye Tendo la ndoa unafikiri ni style Gani mwanamke wa kileo inawezesha kumridhisha?

    Wakuu ni lugha ngumu imetumika kama upo na watoto kaa mbali nao. Sina nyongeza. Tukutane kwenye comment.
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa za Kikristo chali (Zimekufa) Je, Kanisa limekosa msaada?

    Ukweli mchungu, wengi wanaishi na maumivu mioyoni mwao.... chanzo ni malezi...malezi si kumpeleka mtoto shule nzuri tu na kumpatia mahitaji muhimu bali kumfundisha mtoto KUMCHA MUNGU,,, Tizameni upande wa pili kwa watoto wa mama mdogo(watoto wa Hajiri/Hagar)...wao bize na madrasa,,,,unafikiri...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yoyote inapita hatua 4 kubwa, Wewe upo hatua gani?

    Sikiliza kwa makini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…