ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Unapata Ogasm mara ngapi kipa ukifanya tendo la ndoa?

    Ndio ivyo Swali lijibiwe kama lilivyoulizwa Au wewe orgasm yako ni pesa, ukipewa pesa ndio unaipata? Happy Valentines Day to you all
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini ikifika valentine na mfungo ni kama ligi mpya za ndoa

    Hii miezi ni kipindi cha mapenzi mubashara na wapenda dini sana kuingia kwenye ndoa.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ni dawa. Kukaa muda mrefu bila kufanya sex kunaharibu afya ya akili.

  4. JamiiForums Tanzania Ukristo unaruhusu ndoa ya mke wapili kwa mujibu wa andiko hili

    Ukisoma Biblia, kutoka 21, 10. Inasema "Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa." Ukisoma toka mwanzo utagundua kuwa utagundua hapa yamezungumziwa mambo ya kuachia watumwa.. Sipingi hilo, lakini kitendo tu cha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tunaoa? Ni Lini Ndoa ina-expire na hautakiwi kufikiri Kutoa Talaka.

    KWA NINI TUNAOA? NI LINI NDOA INA-EXPIRE NA HAUTAKIWI KUFIKIRI KUTOA TALAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Lazima ujifunze, kabla hujakipokea kitu au Jambo lolote lazima ujifunze namna ya kukitumia na kukiacha siku kikiwa Expired na useless. Hiyo ni Kanuni. Ndoa ni muunganiko wa hiyari...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Kikristo ina vigezo gani?

    Ndoa ya Kikristo ina Vigezo Gani Hii ni ndoa inayofungwa katika kanuni timilifu za Mungu alizozikusudia tangu mwanzo. Vigezo vinavyohusika vimeainishwa katika sehemu zinazofuata hapo chini. Wote wawe waumini (2Wakorintho 6:14-18) Kuamini si lazima muwe katika viwango sawa kiroho, lakini wote...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuandika SMS kwa namna hii kunaweza kusabisha kizaa zaa kwenye ndoa ya mtu wako wa karibu

  9. JamiiForums Tanzania HILA SISI!; Sitii Neno Katika Hii, Hebu Soma Kwanza!.

    Alafu sema hitimisho lako linakuwaje katika mchezo huo ili huyu mama aendelee kuwa nawe?.
  10. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ni Umri sahihi wa Kijana kuingia kwenye maisha ya Ndoa

    Yesu alianza utume wake rasmi baada ya kufikia umri wa miaka 30, kama inavyosema katika maandiko ya Biblia. Katika Injili ya Luka 3:23, inasema, "Yesu alipokuwa na umri wa miaka 30, alianzisha utume wake." Umri huu wa miaka 30 unahusishwa na kipindi cha ukomavu na utayari wa kutimiza dhamira kuu...
  11. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni zao la mfumuko wa gharama za maisha na wahanga ya wanawake wasiojielewa

    Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa ilimpa kilema cha maisha binti

    Sehemu 1 Naitwa Mamujee, ni mzaliwa wa Musoma. Sijabahatika kusoma sana, niliishia kidato cha pili sababu ya kukosa mtu wa kunisomesha pindi tu nilipofiwa na baba yangu. Mama yangu alifariki kitambo sana tangu nilipokuwa darasa la nne. Baba yangu alipofariki tu, mimi nikachukuliwa na shangazi...
  13. JamiiForums Tanzania Natamani kujiunga Chama la Kataa Ndoa ila Roho bado inasita-sita

    Natamani kujiunga hili Chama la Wana ila roho bado inasita-sita. Nimejifungia sehemu bado natafakari
  14. JamiiForums Tanzania Hivi magereza yetu hayawezi kuboreshwa walau mara 1 kwa wiki wanandoa wakawa wanakutana na wapendwa wao hukohuko gerezani?

    Nimewahi simuliwa na mtoto wa mama mdogo aliyewahi kufungwa jela. Aliniambia yote yanayofanyika kule ufirauni na ubabe na kila kadhia aliyokutana nayo tangu day one hadi anatoka kule. Huenda unajua kabisa kuna baadhi ya jamaa zetu wako kule wamefungwa isivyo halali either kwa kusingiziwa nk na...
  15. JamiiForums Tanzania Hutaki kugawana Mali zako halafu unafunga ndoa, una akili sawasawa KWELI? Ni Bora usioe tuu!

    Wazima wote! Hukumkuta Bikra! Huna uhakika watoto ni wako! Unajua Kabisa Mfumo wa Sheria za sasa katika Masuala ya ndoa unamgeuza mwanaume Msukule wa kuzalisha Mali na kunyonywa. Unajua Kabisa, hata mkiachana watoto wanaweza kuchukuliwa na Mkeo na hao watoto wakapewa mwanaume mwingine na usiwe...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Mwamba kasamehe ..........kataa ndoa hii imekula kwenu. Ndoa ya Tiwa Savage imerudi upya

    RECONCILIATION AFTER 6 YEARS OF DIVORCE???. Afrobeats Diva Tiwa Savage has reconciled with her ex-husband and baby daddy @Teebillz after six years of divorce. The couple who were married in 2013 were blessed with a son, but their relationship went south in 2018 when the husband accused Tiwa of...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

    Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake. Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla...
  18. JamiiForums Tanzania Je ni sawa kuolewa na kaka yako wa kambo?

    Nimeshirikishwa kwenye mgogoro wa kifamilia ambao wazazi waliooana wote wakiwa na watoto waliozaa kwenye mahusiano kabla ya ndoa. Wakati wanaoana, mtoto wa kiume alikuja na mke / mama akiwa na miaka 9 na mtoto wa kike alitokea upande wa mume na alikua na miaka 4. Hawajachangia damu ila wote...
  19. JamiiForums Tanzania About to fall in a trap

    Habari zenu Kuna mkaka nlimkubalia kuolewa nae nlipokuwa desperate na tulipanga ndoa iwe June ata kama wazazi upande wangu hawataki.... Aliona kama bahati na kunitambulisha kwao faster..ila baada ya kuheal na desperation( bila kumtumia yeye) naona uamuzi wa kumkubali haukua sahihi kwangu...
  20. JamiiForums Tanzania Talaka Zimeongezeka – Je, Wanawake Ndio Tatizo?

    Kulikuwa na wakati ambapo ndoa ilikuwa zaidi ya sherehe ya wawili waliopendana; ilikuwa taasisi yenye mizizi katika jamii, iliyozingatia heshima, uvumilivu, na mshikamano wa kifamilia. Ilikuwa ni ahadi isiyovunjika kirahisi—zaidi ya mkataba wa mapenzi, bali ngome ya maisha ya pamoja. Lakini leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…