Nilikuwa binti mtulivu sana ktk usichana wangu,mpaka naanza chuo mwaka wa kwanza simjui mwanaume kabisa,nilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi.
Nilipofika chuo nilipata mkopo na nikawa nautumia kujikimu pamoja na...