ndege

Yvonne Ndege is an international journalist, and media and communications professional. She started her career at the British Broadcasting Corporation, as a graduate trainee in London, United Kingdom.

View More On Wikipedia.org
  1. Ninaumia moyo kila ninaposikia serikali ya Tanzania imeagiza ndege mpya ya biashara

    Wiki ijayo tunapokea ndege nyingine ya fedha nyingi sana ambayo itaungana na ndege zingine za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Ununuzi wa ndege za mabilioni si tatizo, tatizo ni pale tumeruka hatua muhimu. Tulipaswa kutatua masuala ya maji, umeme, elimu, na afya kwanza kabla ya kufikiria...
  2. Ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Msalato Sehemu ya Kwanza Kukamilika Disemba 2024

    UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA MSALATO SEHEMU YA KWANZA KUKAMILIKA DISEMBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato - Dodoma umefikia asilimia 54.1 kwa sehemu ya kwanza inayohusisha ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua...
  3. Ndege John nimejitafuta hatimaye nimejipata

    Hahahahahaha awali ya yote nianze kwanza Kwa kucheka kuashiria Kwa sasa niko na furaha muda wote baada ya kufanikisha mambo niliyoyawish kama ifuatavyo. 1. FLOW YA HELA Ni muda mrefu sasa akaunti yangu Inasoma pesa zaidi ya million 2 haijaisha ndani ya miezi miwili Kwa sababu nashinda Sana...
  4. Alquds wadondosha ndege ya Israel jijini Gaza. Mapigano bado yaendelea katikati ya jimbo hilo

    Ndege isiyo na rubani au droni imedondoshwa leo kwenye jiji la Gaza ambalo jeshi la Israel lilitangaza zamani kulidhibiti eneo hilo. Habari hizo zimetolewa na msemaji ya kundi la Alquds ambalo ni tawi la kijeshi la harakati za Islamic jihad. Droni hiyo kwa mujibu wa aljazeera iliyowanakili...
  5. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Yataka Maeneo ya Viwanja vya Ndege Yawe na Hatimiliki

    KAMATI YATAKA MAENEO YA VIWANJA VYA NDGE YAWE NA HATIMILIKI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka Serikali kuhakikisha inasimamia upatikanaji wa hatimiliki za maeneo ya Viwanja vya Ndege vyote nchini ili kudhibiti uvamizi katika maeneo hayo na kupelekea ucheleweshaji wa utekelezaji...
  6. D

    Tatizo la ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza nini hasa, tuelezeni

    Sisi wazalendo tunakerwa sana na uzembe wa TAA kuanza ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza, wameahidi mara kadhaa kwa Mkuu wa Mkoa, kuwa pesa imetolewa na Rais bilioni 30 sasa. Kinachochelewesha ni nini? Songwe imeishakamilika, Tabora, Iringa, Tanga, Msalato, Arusha, Moshi vinajengwa...
  7. Waziri Bashungwa: Ujenzi na uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora utakamilika Oktoba badala ya Machi, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi Oktoba, 2024. Bashungwa ameyasema hayo Machi 13, 2024 mkoani Tabora katika...
  8. Ujenzi Uboreshaji Kiwanja cha Ndege cha Tabora Kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  9. J

    Ujenzi na uboreshaji kiwanja cha ndege cha tabora kukamilika Oktoba, 2024

    UJENZI NA UBORESHAJI KIWANJA CHA NDEGE CHA TABORA KUKAMILIKA OKTOBA, 2024 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuwa Serikali itahakikisha inasimamia ukarabati na uboreshaji wa Kiwanja cha Ndege cha Tabora ili kukamilika ifikapo mwezi...
  10. Mfanyakazi wa zamani wa Boeing aliyekuwa akikosoa ubora wa ndege hizo akutwa amefariki nchini Marekani

    Bwana Barnett alifanya kazi kwa kampuni kubwa ya ndege ya Marekani kwa miaka 32, hadi alipojiuzulu mwaka wa 2017 kwa sababu za afya. Tangu mwaka wa 2010, alifanya kazi kama meneja wa ubora katika kiwanda cha North Charleston kinachotengeneza Dreamliner ya 787, ndege ya kisasa sana inayotumiwa...
  11. Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

    NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo. Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia...
  12. D

    Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  13. Rais Samia: Sikuwa na ndoto za kuwa Rais bali nilikuwa na ndoto za kuwa mhudumu wa ndege (Air hostess)

    Rais Samia ameyazungumza hayo leo katika siku ya wanawake duniani ambapo nae amehudhuria kongamano la wanawake. --- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati anasoma sekondari ndoto yake ilikuwa ni kuwa mhudumu wa ndege kwa kuwa alivutiwa na wafanyakazi Shirika la Ndege la DRC...
  14. Kenya: Ndege mbili zagongana angani, wawili wafariki Dunia

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kenya imethibitisha kisa cha kugongana kwa ndege ya abiria ya kampuni ya Safarilink na ndege ya mazoezi. Uchunguzi umeanza kubaini chanzo cha ajili hiyo. ‘’Uchunguzi umeanza kupitia mashirika mbalimbali ukiongozwa na Idara ya Uchunguzi wa Ajali za Anga na...
  15. Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu

    Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu. Panya huyo aliyejificha bila kupatikana kwa siku tatu, alionekana kufurahia safari ya ndege ya Srilankan Airlines Airbus A330 kutoka mji wa Lahore, nchini Pakistan siku ya...
  16. Hivi Michael Jackson alikuja Tanzania na kugoma kushuka uwanja wa ndege na kusalimiana na Mzee Mwinyi kisa Tanzania hewa yake ni chafu?

    Wazee leo imebidi niulize, Maana naona watoto wa miaka ya 90 kama tulikua tunapigwa fiksi mno na wazazi au wakubwa wetu.... Nimekua miaka ya 2000 na hivi nikiamini stori niliyoikuta kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1990 sijui 1992 alikujaga bana Wako Jack (MJ) Gwiji Michael Jackson hapa Ti-ziii Eti...
  17. Miaka ya 90 pale uwanja wa ndege mzee Mwinyi aliwahi kunipa hela, fulana kwa mkono wake mwenyewe kisha akanambia maneno haya...

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nikiwa na umri mdogo nilihudhuria pale katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es salaam, kumuaga mzee wetu mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alikuwa anaondoka kuelekea Zanzibar, baada ya utawala wake wa miaka 10...
  18. Injini ya Airbus ya Air Tanzania ilipata hitilafu ikiwa angani Februari 24, 2024

    Abiria 122 wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamenusurika kifo wakiwa safarini baada ya ndege waliokuwa wamepanda kupata hitilafu kwenye moja ya injini zake. Ilikuwa Jumamosi Februari 24, 2024, ndege ya ATCL Airbus A220-300 iliyoruka kutoka Dar es Salaam kwenda Mbeya iliponusurika kushika...
  19. Je, na wewe uliziona ndege 12 zikitembea kwa mstari jana usiku?

    Usiku wa jana mida ya saa moja kuelekea saa mbili niliona ndege 12 zikiwa zinaenda taratibu sana kwa mwendo wa Pole zikipita kwenye anga la nyumbani kwangu Bahari Beach. Mara ya kwanza nilidhania ni vimondo, ila nikasema hapana, nikadhania sasa haya ndio mambo ya UFO yenyewe, lakini baadaye...
  20. Kihenzile aitaka TAA kuvunja Mkataba na Mkandarasi anayejenga kiwanja cha Ndege Ruvuma

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na Mkandarasi huyo kushindwa kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Naibu Waziri David Mwakiposa Kihenzile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…