nchini india

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Said Mikidadi anaomba msaada wa kupata Sh Milioni 40 akatibiwe nchini India baada ya kushindikana Nchini

    Rais Wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwa ujumla wameombwa kujitokeza kumchangia Said Mikidadi anayesumbuliwa na uvimbe mkubwa ili apate matibabu na kuokoa maisha yake. Said Mikidadi, anakabiliwa na tatizo la uvimbe linalohitaji kufanyiwa upasuaji wa...
  2. JanguKamaJangu

    GE2025 Rais Samia: Serikali imeanza mazungumzo ya Soko kubwa la Mbaazi na dengu nchini India

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kulinda maslahi ya wakulima wa Mbaazi na dengu nchini Tanzania, Serikali ya awamu ya sita ilishaanza mazungumzo na Soko kubwa la mazao hayo nchini India ili kuweza kununua...
  3. Isenye

    Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

    Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha. Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu. Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
  4. Dalton elijah

    Mwanamke Kutoka Kenya Akamatwa Na Kilo 1.7 Za Kokeine Nchini India

    Maafisa wa forodha nchini India wamemkamata mwanamke mmoja raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 43 kwa kosa la kusafirisha kilo 1.7 za kokeini zenye thamani ya kati ya Ksh225 milioni na Ksh300 milioni. Kwa mujibu wa The Indian Express, mwanamke huyo aliyefahamika kwa jina la Emily Rodha...
  5. Stephano Mgendanyi

    Filamu ya "Tantalizing Tanzania" Yazinduliwa Rasmi Nchini India

    FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA Na Happiness Shayo - Mumbai, India Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za...
  6. L

    Hivi ndivyo David Kafulila alivyotua mbele ya sanamu la Mwalimu Nyerere New Delhi nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Chuma cha Reli ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa PPP, ametua mbele ya Sanamu ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Katika ubalozi wetu wa Tanzania Nchini India . Ambapo Mzalendo huyu mwenye maadili na aliyenyooka kama rula. Na ambaye amekuwa...
  7. Nyendo

    Aomba talaka kisa mume wake haogi

    Mwanamke mmoja nchini India amewaacha watu vinywa wazi baada ya kuomba talaka kwa mumewe ikiwa ni siku siku 40 tu baada ya harusi yake, akidai kuwa mume wake hapendi kuoga na hawezi kuendelea kukaa naye Mwanamke huyo alifikisha malalamiko yake kwenye kituo cha ushauri nasaha cha familia cha...
Back
Top Bottom