Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa.
Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini.
Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
Uislamu umevamiwa na Maislamists ambayo yanaongozwa na Katiba na Mikakati ya Muslim Brotherhood (MB). Hawa jamaa hawana interest ya kuwafikisha waislamu Ahera, bali wao interest yao ni Islamic Conquest ya Jamii nyingine ambazo si za Kiislamu.
Aidha, hatima ya yote wanataka kusimamisha Dola ya...
Kama tunavyofahamu jumatano ilopita kulikuwa na patashika khasa baada ya internet kuzimwa nchi nzima kupisha kazi ya Mafwele na vikosi vya mamluki kuwasaka, kuwatambua na kuwakamata kisha kuwatesa na kuwaua vijana wadogo.
Haya kama hayatakuwa mauaji ya halaiki ni lazima yawe documented kwa...
Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta wafanyakazi wengi wa serikali wakistaafu wanaenda kupata kazi nono kwenye makampuni yaliyokuwa...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ameshutumu nchi za Magharibi kwa kutokemea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya Yoweri Museveni.
Bobi Wine amedai baadhi ya viongozi wa mataifa ya Magharibi "wanahusika" na mateso wanayokutana nayo waganda kwa kuwa wanajali...
Ufaransa yarejesha bendera katika ubalozi wa Damascus huku mamlaka mpya ya Syria ikijenga mawasiliano na nchi za Magharibi.
Ufaransa ilipandisha bendera yake katika ubalozi wake wa Damascus siku ya Jumanne kwa mara ya kwanza baada ya miaka 12 na maafisa wa Umoja wa Ulaya walijitayarisha...
Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc
Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
"Kusema ukweli, ni kwamba watu ambao hawaendi China mara nyingi hufikiria kuwa wako nyuma, lakini unapoenda huko unavutiwa na wanachofanya katika teknolojia."
–Brad Smith (Raisi wa Microsoft)
Nchi za Magharibi hazipaswi kudhani kuwa China iko nyuma ya Marekani na Ulaya kwenye maendeleo ya...
Hivi karibuni kiongozi wa Kanisa la Katoliki Papa Francis alihutubia mkutano wa Vatican kuhusu Msukosuko wa Madeni katika eneo la Kusini mwa Dunia", kwenye hotuba yake Papa alikemea vikali changamoto zinazotokana na msukosuko huo, hasa kusababisha taabu na dhiki, na kuwanyima mamilioni ya watu...
China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika.
Katika kipindi chote cha zaidi ya miongo sita China na Afrika siku zote zimekuwa zikiheshimiana...
Mradi wa ujenzi wa Bandari kubwa ya Bagamoyo ilikuwa uwe moja ya flagship kubwa sana ya Belt and Road ya Wachina hapa Africa. Lakini kwa sababu amabzo hazieleweki hadi leo bandari haikujengwa ingawa serikali ilishaingia harasa kullipa watu fidia.
Kwenye video fupi hapa chini jamaa anaelezea...
Feminism:
Uzaaji wa watoto wachache:
Sera ya uhamiaji holela:
Kuruhusu, kupokea na kuzifanyia kazi ideologies za jamii nyingine angali jamii hizo zinapinga ideologies za west:
Ideology ya Mrengo wa Kushoto:
Kwa kifupi Nchi za Magharibi zinatusaidia kuanzia miradi ya Afya ikiwemo kupambana na magonjwa kama Ukimwi, Kifua kikuu, utapia mlo na mingine mingi. Zinatusaidia Kuokoa uhai wa Mama wajawazito na watoto kwa kutoa fedha nyingi sana tunazotumia kuboresha hospitali zetu!
Nchi hizi zinatusaidia...
Ni rahisi sana kuhubiri kuhusu free market (Biashara Huria) iwapo upo kwenye advantage. Lakini ukiwa unajitafuta biashara huria ni ugonjwa mbaya sana. Nchi za magharibi zimehubiri sana kuhusu biashara huria. Watu wafanye biashara na bidhaa zizunguke duniani bila vikwazo. Ikafika hadi nchi...
Bibi Jacquie anaishi katika kijiji cha Mayeba kilichoko misituni kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ingawa kijiji hicho kiko karibu na migodi maarufu ya KFM na TFM, ambayo ina madini ya Shaba na Cobalti yenye thamani kubwa, lakini wanakijiji walikuwa wanaishi maisha magumu...
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika ulimalizika mjini Beijing wiki iliyopita, ambapo wakuu zaidi ya 50 wa nchi au serikali za Afrika walihudhuria mkutano huo, na kuonyesha kuwa nchi za Afrika zinaupa umuhimu mkubwa mkutano huo na matarajio makubwa ya kuendeleza...
Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine.
Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni...
Kufuatia Tuhuma za Genocide nchini DRC kwa ajili ya kuiba madini Sasa KAGAME akili wazi kua madini yanapitia kwake nchini Rwanda yakiibiwa.
Sikiliza hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.