Sijajua ni kwanini wa China wakikutana nchi za nje haswa kikazi hawapendani na hawana ukaribu tofauti sana na watu wa jamii zengine kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba hawataki kuwa karibu sababu wanaogopa kuigana biashara / mbinu za kutengeneza pesa
Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na nishindwe kamwe kukosea adabu Chama Cha Mapinduzi cha Babu yetu Mwl Nyerere
Ni vigumu sana kutamka Chama...
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huko Arusha tayari Watu wa mataifa mbali mbali wameanza kuwasili, kwa lengo la kumpokea Nabii wa Mungu, Godbless Lema, anayewasili kesho kutokea Canada, Nchi aliyokimbilia baada ya kukwepa mtego wa kuuawa na wakubwa nchini Tanzania, baada ya kile kilichoitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.