nchi nzima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM nchi nzima wanalalamika kudhulumiana.

    Kila kona ya Tanzania yanasikika mayowe ya wana CCM kutuhumiana kudhulumiana huku wakirusha lawama kwa CHADEMA kwa nini hawashiriki uchaguzi na kusababisha dhuluma iwe kubwa ndani ya CCM. Tulipowaambia NO REFORMS NO ELECTION mlitubeza. Hatutaingilia ugomvi wenu wa wanandugu!!
  2. JamiiForums Tanzania Hivi gharama zilizotumika kuchora mawe nchi nzima. Je, hizo pesa alipata wapi?

    Yule jamaa aliyechora mawe nchi nzima , zile pesa alizipata wapi ?.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi za teknolojia sioni sababu ya kuwa na wabunge wengi kwakuwa Serikali ina uwezo wa kupata taarifa za nchi nzima bila kumtumia Mbunge

    Ukikaa ukatafakari kwa nchi masikini kama Tanzania ambayo sio tu ipo nyuma Ila imekwama kwa kila nyanja kuanzia kisiasa ,kiuchumi na kijamii. Sasa kuna sababu gan ya kuwa na idadi kubwa ya wabunge ambao unasikia kuwa Kazi zao ni kuwawakilisha wananchi. Mimi nimefatilia sana siasa Ila ukweli...
  4. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wapiga Kura inavyoshuka licha ya kuongezeka kwa waliojiandikisha – Taifa lenye hofu, hasira na kukata tamaa

    Wakati Tanzania ikiendelea kujigamba kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi, takwimu haziungi mkono propaganda hiyo. Hii hapa ni grafu inayoonesha wazi takwimu kutoka mwaka 1995 hadi 2020 kuhusu: 1.Idadi ya watu (population) 2.Idadi ya waliojiandikisha kupiga kura 3.Idadi ya waliopiga kura...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yajipanga kutoa Chanjo kwa Mifugo nchi nzima

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Edwin Mhede, ameongoza zoezi la utambuzi na uchanjaji wa mifugo mkoani Njombe, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo kwa Mifugo iliyoanzishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tujikumbushe: Hivi CHAUMMA kilifanikiwa kuzunguka nchi nzima kwa siku 16?

    Kamanda aliyejinasibu kufanya hivyo si mwingine bali ni Salum Mwalimu katibu mkuu wa chauuma.. Akijisifia kubomoa ngome zote za CHADEMA(hapa alijisahau kidogo) Kwa majigambo mengi kuhusu chopa.. Alisema ana connection na ana miundombinu ya kupata chopa imara na thabiti kwa hiyo kazi.. Maana...
  7. JamiiForums Tanzania NIC Tanzania lini mtatoza Bima za Nyumba/ Majengo nchi nzima

    Habari Shirika la Bima la Taifa (NIC) ! Naomba kuwauliza. Je, mnajua jamii na Taifa letu Tanzania wananchi waunguliwa nyumba zao, wanapata mafuriko nyumba zinaharibika, upepo na majanga ya asilia yanaathiri makazi ya watu na nyinyi mpo tu ?. Mmekufa ? Nawaomba ikiwapendeza; wekeni pendekezo la...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Tumewatetemesha nchi nzima wametupa kombe la kitaifa

    Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina amesema wananchi wa Meatu hawakuchagua tu Mbunge wa Jimbo, bali wametoa Mbunge wa Taifa anayetetea kila aina ya mtanzania, wakiwemo wanyonge wasio na sauti, na kukemea mafisadi na wala rushwa Akizungumza na wananchi wa Mwandoya, Wilayani Meatu, Mpina amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Kama rais "anapeleka" fedha nchi nzima, Serikali itapeleka lini na kwanini Rais na siyo Serikali?

    Nimemsikia naibu waziri ofisi ya Rais Serikali za mitaa Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa nakisema kuwa mheshimiwa rais amepeleka pesa nyingi kwenye maeneo mbalimbali. Kama rais ndiye anatoa pesa "yake", hii pesa ya umma inayotengewa serikali inakwenda wapi? Je...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tumepeleka fedha nchi nzima kwa ajili ya miradi ya serikali

    “Kwa mfano leo hapa Bariadi kuna miradi sita ya kufungua na yote ni kwa sababu serikali ilikuwa na fedha, tumetawanya fedha za kufanya miradi hiyo. Ni makusanyo ya ndani. Miradi yote tumejenga wenyewe isipokuwa mmoja ndio wa mtu binafsi niliokwenda kuufungua asubuhi leo. Lakini mitano yote ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim yafanya Kampeni ya uchangiaji Damu nchi nzima kuimarisha sekta ya Afya

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dar es Salaam: KATIKA kuendelea kudhihirisha dhamira yake ya muda mrefu katika kuimarisha afya ya umma, Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS), imefanikisha kampeni ya nchi nzima ya uchangiaji damu. Zoezi hili muhimu...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 NIRC yaanza utelekelzaji wa uchimbaji visima 67,000 vya umwagiliaji, nchi nzima

    Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, imeanza utekelezaji wa uchimbaji wa visima virefu 67,000 vya maji kwa ajili ya kiliko cha Umwagiliaji nchini. Lengo ni kuhakikisha kuwa Taifa linaondokana na kilimo cha kutegemea mvua na kuwa na uhakika wa maji kwa ajili ya kilimo na kulima zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Chadema ikifutwa nashauri tuandamane nchi nzima

    Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
  14. JamiiForums Tanzania Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

    Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki. OktobaTUNATIKI
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

    Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu. Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa. Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Ndinga la CHAUMMA linatarajiwa kutumika ziara za mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini

    Wakuu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini. Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
  18. JamiiForums Tanzania Mmemtukana na kumtweza wee! Kaamua kuzunguka na chopa yake nchi nzima kujibu matusi yenu na kujisafisha utu wake. Sasa woga na wasiwasi wa nini?

    Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi na matendo yenu? Kwa nini sasa mnakuwa na wasiwasi na uoga tele munaposikia kuwa mtu huyo kaamua...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM itisheni maandamano makubwa nchi nzima kupinga maazimio ya umoja wa Ulaya tuone kama MULIRO atayazuia

    Sijui kwanini mwachelewa wakati sababu zipo Waonyesheni mabeberu kuwa hatutaki kupangiwa na tuko huru Police wawasaidie kuratibu na watumieni wafanyakazi wote wa serikali kihamasisha yule asiyetoka katika maandamano hayo ashughulikiwe kwa mujibu wa Sheria
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…