nchi masikini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Bila kuwa na nishati ya kutosha, Tanzania itaendelea kuwa nchi masikini mpaka siku ya kihama

    Nishati (energy) ndiyo mhimili wa uchumi wa nchi. Mataifa makubwa kama Marekani hutafuta nishati kwa nguvu kubwa kwa sababu yanafahamu umuhimu wake. Modern geopolitics ipo centred around energy. Kwa wale wazee wa "Tujifunze skills za AI , AI is the future" takwimu zinaonesha matumizi ya...
  2. ELI COHEN

    Licha ya kuwa ni nchi masikini, tulishaangaa sana utajiri wa Somalia mipakani Afrika Mashariki na harakati zisizoisha za al shabab. Jibu ni hili

  3. Pascal Mayalla

    Rwanda na Uganda zaongoza EAC kasi ya Ukuaji Uchumi, Kenya Nchi Pekee Uchumi wa Kati, EAC, Tanzania yarejeshwa Kundi la Nchi Masikini!. WHY?!

    Wanabodi Rwanda na Uganda ndizo nchi mbili pekee kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC katika orodha ya nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara huku Tanzania ikisukumwa chini na kutupwa tena kwenye kundi la nchi masikini za kipato cha chini...
  4. Think2

    Tanzania sio nchi masikini

    Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi, makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k Mbuga za wanyama nzuri yenye kuvutia milima mizuri kma kilimanjaro maziwa na bahari nzuri lkn hivo vitu vyote bado...
  5. DR HAYA LAND

    Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  6. BigTall

    Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

    Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
  7. vnn

    Nchi masikini, ina wabunge wa viti maalumu 100+ Afrika tumelaaniwa vibaya! Nini kinazuia katiba isirekebishwe?

  8. Mkalukungone Mwamba

    Utawala wa Trump Kusitisha msaada wa kifedha kwa Gavi, Shirika linalookoa maisha ya watoto nchini zinaoendelea

    Hati ya kurasa 281 iliyopatikana na gazeti la The Times inaonyesha mipango ya utawala wa Trump kuhusu maelfu ya miradi ya misaada ya kigeni. Utawala wa Trump unakusudia kusitisha msaada wa kifedha wa Marekani kwa Gavi, shirika ambalo limekuwa likinunua chanjo muhimu kwa watoto katika nchi...
  9. Technophilic Pool

    Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  10. S

    Nchi masikini: Kiongozi anapanda ndege Dar Es-Salaam, shangingi linakuja Dodoma kumpokea. Trump na Elon Musk, futeni misaada kwa nchi za Afrika

    Sisemi mengi maana tumeshsema sana na kwa miaka mingi. Viongozi wa nchi za kiafrika wengi ni wabinafsi, wabadhirifu, hawana uzalendo na hawajali shida za wananchi wao, bali wanafikiria zaidi matumbo yao na familia zao kwa kujilimbikizia mali kanakwamba wataishi milele huku wananchi wakiteseka...
  11. GoldDhahabu

    Misri na Afrika Kusini zinakoromewa na Wazungu kama wafanyavyo kwa nchi masikini?

    Marekani na nchi nyingi za Ulaya zimejuwa kama viranja kwa nchi masikini, hasa za Kiafrika. Lakini alau Misri na Afrika Kusini zipo vizuri kiuchumi. Najua fedha huwa inaongeza heshima, na Misri & South Africa zinazo. Wazungu alau wanaziheshimu au wanaichukulia kama nchi zingine za Afrika...
  12. NguoYaSikuKuu

    Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
  13. Sir John Deere

    Nchi zilizoendelea Hasa marekani na ulaya wanachukua rasilimali Afrika na huku wakituambia ni nchi masikini Duniani. Tujitafakari

    Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
  14. Felix Mwakyembe

    Climate finance; kitanzi cha nchi masikini katika sura ya ufadhili

    AHADI za fedha kutoka mataifa tajiri kwenda mataifa masikini kwa ajili ya kuhimili na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ni tamu, lakini kiuhalisia ni mtego wa madeni. Uchambuzi wa kina unabainisha kuwa fedha hizo zinaelekezwa kusikostahili, ambapo nyingi huenda kuchangia...
  15. BLACK MOVEMENT

    Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  16. Heart Wood.

    Mambo ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua kiuchumi, kijamii na kisiasa tunaweza kujifunza

    Wakuu Salaam, Nitakuwa nilkileta hapa mfululizo wa mambo muhimu ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua huko Ulaya ya Magharibi tunaweza kupata la kujifunza. Kwa leo nitajikita kwenye angle ya usafirishaji. Bila kupoteza muda na kukuchosha mpenzi msomaji naanza kuyataja mambo hayo kama...
  17. Ashampoo burning

    Demokrasia haifai ni mfumo mufilisi kwa nchi masikini

    Jana nilikuwa nafikiria kuhusu demokrasia kama mfumo kuundia serikali nimekuja kujua hauna tija sababu zangu ni hizi 1.mwenye hela na umaarufu anaweza kuwa kiongozi Hapa ni kwamba mfumo wa democracy ulivyokaa ni kwamba anaeshinda kwa kura nyingi ndio anae kuwa kiongozi hata kama...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  19. ELI COHEN

    Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

    GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity) 1.[emoji1223] South Sudan: $492 2.[emoji1060] Burundi: $936 3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140 4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570 5.[emoji1174] Mozambique: $1,650 6.[emoji1156] Malawi: $1,710 7.[emoji1183]...
  20. BARD AI

    WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
Back
Top Bottom