The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.
Ngoma inaanza hivi: Mwaka 1995 Mrema alivyotoka CCM, Edwin Mtei alimfuata ili Mrema ajiunge na CHADEMA na kugombea urais kupitia chama chao. Mrema akaweka masharti magumu kwamba: Ili ajiunge na CHADEMA ni sharti apewe nafasi ya kugombea urais na pia apewe kuwa mwenyekiti wa chama (Ikimaanisha...
Mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kwa kupitia chama cha NCCR MAGEUZI Mhe Thomas Amas Mchiwa akiwa katika Mkutano wa kampeni kwa Wakazi wa Kotako Kata ya Mngeta leo tarehe 03/10/2025
Mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR Mageuzi Dkt. Eveline Munisi amesema usalama katika nchii utaimarika sana na ataweka mazingira mazuri kwa watumishi wa umma katika kipindi ambacho ataingia madarakani pindi wananchi watakapo mpa kura za...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, ameibua mjadala mzito kuhusu historia ya mageuzi ya kisiasa nchini Tanzania, akisisitiza kuwa chama hicho ndicho kilichokuwa chimbuko la mfumo wa vyama vingi.
Akizungumza na mtangazaji Wilberforce Ngoto katika kipindi cha Maswali na Majibu...
Akiwa kijana wa miaka 31 tu, alishinda Jimbo la Vunjo kwa kishindo cha kura 83%.
Baada ya miaka kupita ikaibuka migogoro ya kisiasa, chama chake kupoteza nguvu, na kimya kizito kilichoacha maswali.
Je, kimya chake ni tamaa iliyokufa, upepo aliokuwa akipima, au mapumziko ya kimkakati?
Bado ana...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anakomesha uvunjifu wa maadili uliokithiri nchini ikiwemo ujenzi holela wa bar kila Mtaa, nyimbo zinazosifu pombe na ulevi na filamu za Bongo Movies...
Chama cha NCCR-Mageuzi kimezindua ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025–2030 iliyobeba vipaumbele 11, ikiwemo upatikanaji wa katiba mpya.
Pia, chama hicho kimetangaza wagombea wake kwa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano, Haji Khamis, na mgombea mwenza, Dkt. Eveline Munis, pamoja na mgombea...
Viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi wametangaza rasmi kurejea katika ofisi za chama hicho baada ya miaka miwili, kutokana na mgogoro uliokuwa unaendelea ndani ya chama hicho uliosababisha kuenguliwa kwa uongozi uliokuwepo.
Akizungumza na waandishi wa habari Julai 07, 2025 Makamu Mwenyekiti wa...
Aliyekuwa Katibu wa NCCR Wilaya Rungwe, Benard Mwamenywa amejiunga na ACT Wazalendo leo Julai 05, 2025.
Mwemenywa amesajiliwa kidigitali katika chama hicho na Zitto Kabwe; ambaye ni Kiongozi wa Zamani wa ACT Wazalendo.
Tukio hilo limefanyika mara baada ya kumalizika kwa kikao cha ndani cha...
Katibu Mwenezi wa NCCR Mageuzi, Elisante Ngoma ametangaza kuhamia Chama cha ACT- Wazalendo huku akitaja sababu ni chama chake kupoteza dira katika kupambana na chama tawala, Chama cha Mapinduzi (CCM).
Ngoma amekuwa miongoni mwa vigogo waliohamia kwenye chama hicho hivi karibuni, akitanguliwa na...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya chama hicho, akipinga kuondolewa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wake.
Mbatia aliemnguliwa madarakani kufuatia mkutano mkuu wa NCCR Mageuzi uliofanyika Septemba 24, 2022, ambapo pia ulimvua uanacama...
Kwa sasa kuna tatizo la CHADEMA kukimbiwa na wanachama kulikoni! Hali hii imeikumba NCCR Mageuzi. kwenye vyama vya upinzani, kuna kabila linajiunga kimaslahi binafsi.
Tafakuri.
Viongozi 50 wa majimbo, wilaya na kata wa chama cha NCCR Mageuzi mkoa wa Shinyanga wamehamia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) huku wakiweka wazi sababu zilizowahamisha.
Akizungumza mkoani Shinyanga wakati wa kuwapokea viongozi hao Mwenyekiti wa ADC Taifa, Shaban Itutu mbali na...
Ukitathimini kwa kina kuhusu hali ya kisiasa inayopitia na kuikumba chadema kwa sasa, utagundua kuna aina ya maradhi ya kisiasa inagua na kwa hivyo, kuna uwezekano mkubwa sana ikadhoofika mno hatimae kudumaa kama ilivyokua baadhi ya vyama vya siasa nchini vilivyowahi kua na nguvu sana humu...
Katibu wa NCCR Mageuzi Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Robert Busumabu na mwenzake Mwenyekiti wa Vijana wilaya hiyo, Mathayo Ndalahwa wamehamia chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) huku wakieleza sababu za wao kuhama.
Mara baada ya kupokelewa na Kamishna wa ADC Mkoa wa Mwanza, Ramadhani...
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi Wilaya ya Misungwi, Francis Mazigo, ametangaza rasmi kujivua nafasi yake ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), akisema amevutiwa na katiba, sera na mwelekeo wa ADC kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Kupata...
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 kupitia chama hicho, Bi. Martha Raphael Chiomba, ametangaza rasmi kujiondoa ndani ya NCCR-Mageuzi.
Katika barua rasmi aliyoiwasilisha hivi karibuni kwa Katibu Mkuu wa...
https://youtu.be/me1JGU0NJaI?si=sO6f7TbfyzSezwww
➡Yeyote anayeweza kumsikiliza huyu mzee, na bado anaamini kuwa Tanzania kuna chaguzi, anaweza kubadili mawazo yake haraka sana na kuanza kupigania mabadiliko ya kupata mfumo bora na wa haki wa chaguzi zetu...
➡Ameshangaa kwa vyama vya siasa...
Katibu Mkuu wa NCCR Mageuzi, Evaline Munisi amesema asilimia 98 ya maoni na mapendekezo yaliyotolewa na Chama hicho yamechukuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) wakati wa kutunga Kanuni za Maadili yatakayotumika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.