nccr-mageuzi

The National Convention for Construction and Reform – Mageuzi, popularly known by its acronym NCCR–Mageuzi, is an opposition political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    GE2025 Mgombea urais NCCR-Mageuzi asisitiza 'Asiyetaka kushiriki uchaguzi ni sawa na kuikataa Katiba'

    Mgombea urais wa Chama cha NCCR-Mageuzi ameweka wazi msimamo wake kuhusu umuhimu wa wananchi kushiriki katika chaguzi nchini, akisisitiza kuwa ushiriki katika uchaguzi ni haki ya kikatiba na njia pekee ya kuchochea maendeleo ya taifa. Akiwasilisha mojawapo ya sera zake, mgombea huyo amesema...
  2. Mafyangula

    GE2025 Mgombea Mwenza NCCR-Mageuzi: Wakulima watapanga bei ya mazao yao bila kuwepo bei elekezi

    Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Evaline Munisi, ameahidi kuwa serikali itakayoundwa na chama hicho itawapa wakulima uhuru wa kujipangia bei ya mazao yao, bila kuwepo kwa bei elekezi kutoka serikalini. Akizungumza leo Oktoba 9, 2025...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Eveline: Mkichagua NCCR-Mageuzi usalama kazini ni uhakika

    Mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR–Mageuzi, Dkt. Eveline Munisi, amesema kuwa endapo wananchi watamchagua mgombea urais wa chama hicho, serikali yao itaweka mazingira bora na salama kwa watumishi wa umma katika kipindi chote watakapokuwa...
  4. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wiki Moja Baada ya Ufunguzi wa Kampeni, NCCR-Mageuzi Bado Haijaanza Mikutano

    Wiki moja imepita tangu pazia la kampeni za urais na ubunge kufunguliwa rasmi Agosti 28, 2025, lakini chama cha NCCR-Mageuzi hakijaonekana kuanza mikutano yake ya kampeni. Katika ratiba ya kampeni za wagombea urais iliyotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), chama hicho licha ya...
  5. Waufukweni

    GE2025 Mgombea Urais wa NCCR-Mageuzi, Haji Ambar Khamis aahidi Katiba mpya ndani ya siku 100

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
  6. Waufukweni

    GE2025 Mgombea Urais na Makamu wa Rais kupitia NCCR-Mageuzi wachukua fomu ya uteuzi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
  7. N

    PreGE2025 NCCR-Mageuzi kushiriki kikamilifu Uchaguzi Mkuu 2025

    NCCR-Mageuzi MKUTANO NA WANAHABARI TAREHE 14 MEI 2025, JIJINI DAR ES SALAAM Ndugu zetu Wanahabari; Tunawashukuru kwa kufika. Tumewaalika hapa ilituweze kuwafikia watanzania wenzetu kuhusu utaratibu wetu na msimamo wetu kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, ambapo kampeni zake zitaanza mwezi Agosti...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 NCCR-Mageuzi yajipanga kushinda Uchaguzi Mkuu, Yasema kiko tayari kuiondoa CCM madarakani

    Katibu Mkuu mpya wa NCCR-Mageuzi, Evaline Munisi, amesema chama hicho kipo tayari kushinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kwa nafasi za Rais, wabunge na madiwani, huku kikidhamiria kukiondoa chama tawala madarakani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  9. Cute Wife

    PreGE2025 Joseph Selasini: Hatususii uchaguzi, muda uliobaki hautoshi kufanya mabadiliko

    Wakuu, Panazidi kuchangamka huko, Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya. Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
  10. W

    PreGE2025 Kigwangalla asema aliyoyafanya Lissu kwa Zitto Kabwe takribani miaka 11 iliyopita yamemrudia! Hatoboi huu uchaguzi, Je ataenda CCM? CUF au NCCR?

    Dr. Hamis Kigwangalla kupitia ukurasa wake wa X ameandika Mhe. Lissu hatoboi huu uchaguzi. Last two weeks akizungumza kwenye Space/Clubhouse nilimsikia akisema yeye hatoondoka CHADEMA, namnukuu “I ain’t going nowhere…” Akasema tena situation yake na ya Mhe. Zitto ziko tofauti sana, akidai kuwa...
  11. Mjomba side

    PreGE2025 Kujificha nyuma ya hoja ya kutokuhudhuria kwa Katibu Mkuu wa CCM: Upinzani wamekosa Sera madhubuti

    CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo* _Tumeona nchi Kama Marekani...
  12. Roving Journalist

    PreGE2025 NCCR-Mageuzi Taifa yamteua Elisante Ngoma kuwa Mwenezi

    Aliekuwa Katibu wa Vijana wa Chama cha NCCR-Mageuzi Taifa na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana TCD Kitaifa, Elisante Ngoma ameteuliwa na Kamati Kuu ya Chama hicho kuwa Mkuu wa Idara ya Uenezi Na mahusiano ya Umma Taifa. TAARIFA KWA UMΜΑ Kamati kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi Taifa iliyokutana...
  13. Analogia Malenga

    Joseph Selasini: Watu hawaangalii hoja bali dini ya anayekosoa na anayekosolewa

    Joseph Selasini wa NCCR-Mageuzi amesema kuna tabia imezuka ambayo yanaweza kuhatarisha tunu tulizonazo ikiwemo amani. Amesema kwa sasa mtu akikosoa badala ya kuangalia hoja watu wanaangalia dini ya anayekosoa na dini ya anayekosolewa na kuleta hoja ya udini, suala ambalo si jema kwa ustawi wa...
  14. Brain Kingdom

    Je,Utawala wa Rais Hassan ndio Umemfitini James Mbatia NCCR-Mageuzi, je, Tanzania Mpya yenye uponyaji

    Hello JF Wote au baadhi tunafahamu namna James Mbatia alivyo na amejidhihiri kuwa mstari wa mbele kuonya, kushauri na kukemea maovu kwa namna ya heshima, unyenyekevu na staha yenye uzalendo kwa nchi yake. Ni ajabu kuona yaliyotokea juu ya nafasi yake ya uenyekiti wa NCCR Mageuzi katika...
  15. BARD AI

    NCCR-Mageuzi yaishauri Bunge kubadilisha Tozo

    Siku chache baada ya Serikali kutetea tozo zinazotozwa kwenye miamala ya kielektroniki, Chama cha NCCR-Mageuzi kimeitaka wizara ya fedha na mipango pamoja na kamati ya bajeti kupeleka mswada wa dharura bungeni ili jambo hilo liangaliwe upya. Septemba 1, 2022, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk...
  16. JanguKamaJangu

    Mgogoro NCCR Mageuzi: Timu Mbatia wachukua ofisi, wasema umefanyika uhaini ndani ya chama, Mbatia bado ni mwenyekiti

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini. Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
  17. Dr Shekilango

    Tetesi: Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi kung'olewa

    Hali ya mambo ndani ya NCCR-Mageuzi imemgeukia Katibu Mkuu wa chama hicho Martha Chiomba, baada ya Jumuiya ya Vijana na baadhi ya Vigogo wa chama hicho kuaziamia kumg'oa. Taarifa za hivi punde ni kwamba tayari hoja ya kumg'oa imewasilishwa katika viunga vya Ilala Makao Makuu ya NCCR-Mageuzi...
  18. Dr Shekilango

    NCCR-Mageuzi naona ni bora kuachana CHADEMA tu

    Siasa inabadilika kila wakati kulingana na maitaji ya wakati husika, lakini moja ya vitu vinavyotisha na kusononesha ni vitendo vya wafuasi wa CHADEMA kuishambulia NCCR-Mageuzi! Mbatia amekuwa bega kwa bega na CHADEMA hasa katika mapito ya chama hicho, kesi Mbowe NCCR-Mageuzi imeweka mawakili...
Back
Top Bottom