nbc premier league

The Premier League on NBC and Premier League on NBCSN is the blanket title for broadcasts of the Premier League by the networks of NBC Sports. NBC acquired rights to the Premier League in 2013, and reached a six-year extension in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  2. DuaZaMama

    FT: KMC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 11,2026 | Saa 1:00 Jioni

    Baada ya kuaga rasmi mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Simba SC sasa wanarejea kwenye majukumu ya Ligi Kuu ya NBC, wakitarajiwa kukipiga dhidi ya KMC, maarufu kama Watoza Ushuru wa Manispaa ya Kinondoni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 1 usiku katika dimba la KMC...
  3. Red black

    FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC l NBC premier League l MEJ GEN.ISAMUHYO l 29-1-2026 l 16:00HRS

    Matchday ; Simba SC vs Mashujaa FC Tunaanzia tulipoishia. Nguvu Moja 💪 All the best Simba 🦁
  4. DuaZaMama

    FT' Simba SC 0-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Desemba 07,2025

    Leo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni mbinu ya kocha Matola au Ibenge itakayowezesha timu kuondoka na alama zote 3? Kikosi cha Simba...
  5. W

    FT' Coastal Union 0: 1 Yanga | NBC Premier League | Jamhuri Dodoma | 07 Dec 2025

    Jioni ya leo majira ya saa 1 na dk 15 Coastal Union watakuwa uwanja wa Jamhuri Dodoma wakiwakaribisha Yanga SC.
  6. DuaZaMama

    FT: JKT Tanzania 1-2 Simba l NBC premier League | Novemba 08 2025

    klabu ya Simba Sc itamenyana na JKT Tanzania katika mwendelezo wa ligi ya NBC leo, Novemba 08, 2025, katika uwanja wa Mej Jenerali Isamhyo majira saa 1 kamili usiku. All the Best Simba Sc.
  7. DuaZaMama

    FT Yanga SC 2- 0 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | KMC Complex | 28.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Leo katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Mtibwa Sugar utakaopigwa katika Uwanja wa KMC Complex majira ya saa 10:00 jioni. Mara ya mwisho timu hizi zilikutana mnamo tarehe 13 Mei 2024 katika mzunguko wa 27 wa ligi, ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa...
  8. Red black

    Simba Sc 3-0 Namungo Fc l NBC premier League lBenjamin Mkapa Stadiuml 1 October 2025

    Next match : Simba SC vs Namungo Fc game itapigwa saa 8:15PM Starting Xl ya Simba SC All the best Simba SC 🦁 #Nguvu moja
  9. DuaZaMama

    FT Mbeya City 0-0 Yanga |NBC Premier League| Sokoine Stadium Mbeya| September 30, 2025| Saa 16:15 Jioni

    Ligi kuu ya NBC inaendelea leo kwa michezo miwili muhimu. mchezo wa kwanza utazikutanisha Singida Black Stars na Mashujaa FC majira ya saa 14:00 mchana. baada ya hapo, kutakuwa na mtanange mkubwa kati ya Mbeya city dhidi ya Yanga, ukiwa ni mchezo wa pili kwa yanga na wa kwanza wakiwa ugenini...
  10. Vincenzo Jr

    FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

    Tunaanza na Pamba Jiji #NBCPremierLeague 2025/26🔰 Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji Dakika ya 17 Max nzengeli anakosa goli la wazi Dakika ya 24 Yng 0-0 pmb Dakika ya 28 Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 38 Yanga SC wanapata free kick ecua anapiga na kukosa Dakika ya 40...
  11. Muuza madafu wa Ikulu

    Nyuzi za utani toka kwenye page za mitandao ya kijamii ya timu za Mpira wa miguu NBC Premier League

    Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya utani wa timu zetu ta ligi kuu wanazopost kwenye page tao za mitandao ya kijamii. Wamepost Singida Big Stars. "Laiti Katika Timu Yenu Angetokea Mtu Mmoja mwenye Hekima na Busara Akatuuliza kwa nini Tumekubali Kumuachia Top Score wetu Buure kwa Kumpa Mpinzani...
  12. DuaZaMama

    Zouzoua ang’ara tuzo ya mwezi Juni NBC premier league

    Kiungo wa Young Africans, Peodoh Pacome Zouzoua, ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Juni katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Zouzoua aliwashinda Clatous Chama wa Simba na Kibu Denis wa Yanga, baada ya kuisaidia Yanga kushinda mechi zote tatu alizocheza mwezi huo, akifunga mabao...
  13. GENTAMYCINE

    Kimpira na ki haki Ahoua ndiyo anatakiwa kuwa MVP wa NBC Premier League, ila Kiunafiki, Kiushabiki na Kipropaganda watasema apewe Pacome

    Hivi kweli Wanamichezo hapa JamiiForums tukiweka pembeni Mahaba yetu kwa hizi Timu zetu kabisa tukifanya thorough analysis kuanzia Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ianze mpaka hivi juzi ilipomalizika na tukiangalia kuanzia Mechi walizocheza, Mchango wao na uwajibikaji wao kwa Timu zao tukiwa na Akili...
  14. GENTAMYCINE

    Kuna Msemaji wa Timu moja namsubiri sana tuone atakavyowadanga 'Majuha' aliowazoea pale Msimu mpya wa NBC Premier League ukianza August 2025

    Na namshauri tu kama akiweza safari apige kimya na awaachie Viongozi wake ndiyo wawe Wasemaji ila siyo Yeye tena.
  15. Nehemia Kilave

    Pongezi kwa Simba kwa kufanya maamuzi sahihi na hakika Simba ina Watu makini , Simba bingwa NBC premier league 2024/25

    Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani. Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio...
  16. DuaZaMama

    KMC complex kama Ulaya, waleta Gari la kisasa la kubebea wachezaji majeruhi uwanjani

    KMC COMPLEX hivi sasa Kuna gari la kisasa la kubebea wachezaji majeruhi uwanjani wanapokuwa wameumia wakati wa mechi.
  17. Z

    Orodha ya Wachezaji wasio na Kiwango cha Kucheza NBC Premier League

    Baada ya jana Makolo kufungwa na kutupwa nje ya kombe la shirikisho. Ifuatayo ni orodha ya wachezaji wa Timu za ligi kuu wasio na kiwango cha kuchezea ligi kuu. 1. Ally Salim (Simba) 2. Chamou Karabou (Simba) 3. Che Fondoh Malone (Simba) 4. Lionel Ateba (Simba) 5. Steve Mukwala (Simba) 6. Joshua...
  18. W

    FT | Simba SC 1-0 Singida Black Stars SC | NBC premier League | KMC Complex | 28.05.2025

    Simba 1 - 0 Singida Black Stars (⚽ MUKWALA 42' ) LIGI: NBC premier League ⚽🏆 Game: Simba SC v/s Singida Black Stars SC Tarehe: 28-05-2025 Uwanja: KMC Complex Muda: Saa kumi jioni ni mechi ya kiporo yenye mvuto wa kipekee, Simba SC wataingia dimbani kwenye uwanja wa KMC Complex kuchuana vikali...
  19. R

    Full Time: Yanga SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Stadium | 13-05-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Namungo FC 📆 13.05.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:15 Jioni Updates Lineups YANGA NAMUNGO Updates Dk 26 > Yanga wanapata goli la kwanza (Aziz ki) Dk 30 > Yanga wanapata goli la pili (Prince Dube) Dk 36 > inatolewa kadi ya njano (Bakari Mwamnyeto)...
  20. Tembosa

    Simba SC 5-1 Pamba SC | NBC Premier League | KMC Complex | 08.05.2025

    Match Day Vikosi vya Leo. 1. Simba 2. Pamba SC Mechi imeanza (Kick Off) 4' Hakuna bao pande zote 08' Simba wanapata free kick nje kidogo ya 18, anapiga Ahoua inaishia kwenye mikono ya kipa wa Pamba. Game on 0-0 11' Mpira unaendelea umiliki kwa Simba, wanaingia sana kwa Pamba. Refa...
Back
Top Bottom